Beki Bora wa Kati Unayemkubali katika Soka!

Beki Bora wa Kati Unayemkubali katika Soka!

Hapa pana mambo mawili. Kwanza kuwa huyu mlinzi wa kati wa Liverpool kuwa ni mlinzi bora kwa waqt huu. Pili mashabiki wa Liverpool wanadai kuwa ndio beki bora wa kati wa muda wote. Wacha nijikite kwa beki bora wa nyakati zote japo umenisaidia kumtaja Franz Beckenbauer De kaiser (the emperor )huyu kwangu mimi pamoja na Franco baresi ambae alicheza kwa mafanikio akiwa na AC Milan mpaka kuamua siku anatundika daruga wakamwambia hii jezi namba sita ni yako unastaafu nayo hii haikuwa kazi ndogo. Umemtaja Paolo Maldini kama beki wa kati sahihisha hilo japo nae siku anaondoka wakampa jezi nambari tatu aende nayo.
Huyu wa Liverpool bado pana mengi ya kutushawishi mpaka avuke mipaka na walau kuwakaribia magwiji hao.
 
Vijana wa waqt huu mna bahati teknolojia inawawezesha kujifunza japo hamkuwepo waqt wa uhai wa kisoka wa nguli hawa lakini mnaweza tizama video zao na kujua walikuwa na uwezo kiasi gani
Franz Beckenbauer (west German )
Marcio Santos (brazil )
Lucio (brazil )
Bobby moore (England )
Franco baresi (italy )
Laurent blanc (France )
Na wengi wao walitamba kwa kiwango cha juu kwa muda mrefu.
 
Back
Top Bottom