Beki Che Malone Fondoh ni mgonjwa, anahitaji matibabu ya haraka

Halafu wanasema mchezaji yuko fiti kaabisa na ameanza kazi bila shida. Hakuna mtu anapata ajali ya gari lake iliyoumiza ndugu zake na kuua mtu akabaki kuwa fiti. Simba inaongozwa kwa janjajanja.
Hii kitu wasichukulie poa

Breaking News: Baba mzazi wa mtoto yuko kigoma kaomba mwili wa mwanae uende kigoma akauzike
 
Aliyemtibu ni daktari, ripoti take ndio imetumiwa na msemaji wa SIMBA kujua kuwa ni mzima wa afya. Kama hujapata habari toka chanzo rasmi habari yako ni ramli chonganishi haina uhalisia zaidi ya ushabiki maandazi.
Uzima kwake ni kule kutoonekana na jeraha la mwili, lakini jeraha la moyoni halioni. Haya, subirini power dynamo waje, ndiyo tutajua kama yuko fiti kinoma au la.
 
Hata ukigonga kichaa unashitakiwa sembuse bodaboda na akili zake mbovu? Ni kweli boda ni binadamu wa class ya Peke Yao lakini tusubiri Upelelezi wa Polisi utasema. Hata hivyo dereva Hakuwa Che Malone.
 
Maelezo mengii..weka vyeti vyako vya udaktari hapa tuvione
 
Kwahiyo TATHMIN inasemaje kuhus huyo BODA? Mwenye kosa ni nani exactly?
 
Inabidi nyie wanachama na wapenzi mchangue tuweze kumoatia matibabu mazuri mchezaji wetu.

Akaunti namba ya kutuma michango tutawatangazia
 
Hiyo ndiyo itakayomsumbua zaidi. Ahmed Ally anapofurahia hadharani kuwa mchezaji Yuko salama usalimini wakati Kuna mtu amekufa haikai vizuri kijamii
Nafikiri dereva hakufa palepale, ndiomaana wengi walioripoti walilipoti tukio la pale kwenye ajali tu
 
Sasa huyo ahmed ally ni mzima unamuona yeye roporopo tu hatumii akili kudiscus mambo ya kuongea
 
Bongo hakunaga hizo mambo sijui akili imechanganyikiwa...

Matatizo tuliyonayo tu, yashatukomaza kuona tuvitu kama ajali ni mipango ya Mungu 😊
 
Simba wawe makini kuna kirusi kinapiga wachezaji misumari..ndani au nje ya timu.
 
Nafikiri dereva hakufa palepale, ndiomaana wengi walioripoti walilipoti tukio la pale kwenye ajali tu
watu wengi hasa simba walijali hali ya mchezaji tu basi! Yaani ni sawa na mtu anaesema kwenye ajali wamekufa watu 5 na mmasai mmoja.
 
Simba wawe makini kuna kirusi kinapiga wachezaji misumari..ndani au nje ya timu.
Mangunge, Shabalale, na Bocce ni wachawi a kutupwa. Kennede nae kapewa kang'amuzi cha kutegua balaa la kusugua benchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…