Niite mbwa kama naropoka. Safari ya Onana, Phili, Che, Kramo, Okra, Kanoute na Inonga ndo hapohapo ilipo sasa kama hutaondoa miru, balale, cco, shomeli, na nnedy. Ona huyo balale, mtu gani haumii, hapati malaria wala msiba na kukosa mechi hata moja wenzake nao wacheze?