Kumbe saa zingine wewe jamaa unakuwa kama mwenye mapungufu ya akili. Mleta uzi kazunguza chochote kuhusiana na Chama? Kazungumzia beki wewe unaongelea Chama au sikuhizi Chama ni beki?Chama Alifananishaa na kulinganisha na wachezaji WAFUATAO.
1. Chama na Haruna NYONZIMA.❌
2. Chama na Saido.❌
3. Chama na Fei toto.❌
4. Chama na Azizi ki.❌
5. Chama na zoazoa.❌
6. Chama na Max❌
Kumbe saa zingine wewe jamaa unakuwa kama mwenye mapungufu ya akili. Mleta uzi kazunguza chochote kuhusiana na Chama? Kazungumzia beki wewe unaongelea Chama au sikuhizi Chama ni beki?
Physics yenyewe ULIIKIMBIA mwehu wwBeki huyu kisiki ndiyo litmus paper ya nini na vipi beki wa kulia anavyotakiwa acheze
Anakaba,ana dribble,anafanya interceptions za mashambulizi ya wapinzani,anashuka na kupanda kirahisi kwenye flank yake bila kumhatarisha kipa wake
Yao Yao ndo SI Unit ya beki wa kulia aweje
Anakaba,anapunguza anapiga kanzu,matobo na kutoa assists kama zote
Na kama Hilo halitoshi anadeliver more than what is needed of him
Anascore,tena goli zuri la kiwango cha FIFA,
Ana assists 3 na goli moja alilolifunga dhidi ya JKT Tanzania
Nishawaambiwa hizi namba zinareflect matokea yajayo ya Yanga kimataifa,
View attachment 2777161View attachment 2777161
#Mpira bila mbeleko inawezekana
Rage anawajua sana hawa mbumbumbu, ajengewe mnaraKumbe saa zingine wewe jamaa unakuwa kama mwenye mapungufu ya akili. Mleta uzi kazunguza chochote kuhusiana na Chama? Kazungumzia beki wewe unaongelea Chama au sikuhizi Chama ni beki?
Rage anawajua sana hawa mbumbumbu, ajengewe mnara
Rage anawajua sana hawa mbumbumbu, ajengewe mnara
Hapa tunamuongelea Yao Yao Jeshi,sasa huyo mchezaji wako kaingiaje!?Chama Alifananishaa na kulinganisha na wachezaji WAFUATAO.
1. Chama na Haruna NYONZIMA.❌
2. Chama na Saido.❌
3. Chama na Fei toto.❌
4. Chama na Azizi ki.❌
5. Chama na zoazoa.❌
6. Chama na Max❌
Aahaaaa,relax punguza msongo wa mawazoView attachment 2777292
1.YANGA ni timu ya WATU wasioenda shule.
2. YANGA ni timu ya WAJINGA na VILAZA.
3. YANGA ni timu ya Wapumbavu na Matahira
Aahaaaaa,Asante Kwa kumnyoosha huyo mharibu nyuzi za watuKumbe saa zingine wewe jamaa unakuwa kama mwenye mapungufu ya akili. Mleta uzi kazunguza chochote kuhusiana na Chama? Kazungumzia beki wewe unaongelea Chama au sikuhizi Chama ni beki?
Yao kitu ganii kwanza. Unampa Sifa nyiiiingi kuliko hata assist zenyewe. Halafu viassist vyenyewe vitatu tu unafungua uzi, zipo sawa sawa kweli?Beki huyu kisiki ndiyo litmus paper ya nini na vipi beki wa kulia anavyotakiwa acheze
Anakaba,ana dribble,anafanya interceptions za mashambulizi ya wapinzani,anashuka na kupanda kirahisi kwenye flank yake bila kumhatarisha kipa wake.
Yao Yao ndo SI Unit ya beki wa kulia aweje
Anakaba,anapunguza anapiga kanzu,matobo na kutoa assists kama zote
Na kama Hilo halitoshi anadeliver more than what is needed of him
Anascore,tena goli zuri la kiwango cha FIFA,
Ana assists 3 na goli moja alilolifunga dhidi ya JKT Tanzania
Nishawaambiwa hizi namba zinareflect matokea yajayo ya Yanga kimataifa.
View attachment 2777161
#Mpira bila mbeleko inawezekana
Wewe ndio kila siku unataka JF ibadilike wakati wewe mwenyewe 'hujitambui'.Chama Alifananishaa na kulinganisha na wachezaji WAFUATAO.
1. Chama na Haruna NYONZIMA.[emoji777]
2. Chama na Saido.[emoji777]
3. Chama na Fei toto.[emoji777]
4. Chama na Azizi ki.[emoji777]
5. Chama na zoazoa.[emoji777]
6. Chama na Max[emoji777]
Kwani ligi kuu nani anaongoza kwa magoli?Ulitaka akifikisha ngapi ndo nimpe sifa?