Beki wa kulia kisiki Kouassi Yao Attohoula aongoza kwa assists katika mechi tano za NBC PL zilizochezwa mpaka sasa

Beki wa kulia kisiki Kouassi Yao Attohoula aongoza kwa assists katika mechi tano za NBC PL zilizochezwa mpaka sasa

Beki huyu kisiki ndiyo litmus paper ya nini na vipi beki wa kulia anavyotakiwa acheze

Anakaba,ana dribble,anafanya interceptions za mashambulizi ya wapinzani,anashuka na kupanda kirahisi kwenye flank yake bila kumhatarisha kipa wake.

Yao Yao ndo SI Unit ya beki wa kulia aweje

Anakaba,anapunguza anapiga kanzu,matobo na kutoa assists kama zote

Na kama Hilo halitoshi anadeliver more than what is needed of him

Anascore,tena goli zuri la kiwango cha FIFA,

Ana assists 3 na goli moja alilolifunga dhidi ya JKT Tanzania

Nishawaambiwa hizi namba zinareflect matokea yajayo ya Yanga kimataifa.

View attachment 2777161
#Mpira bila mbeleko inawezekana
Huyu dogo yupo vizuri sana. Kwa kweli Yanga walilamba dume kwenye usajili wake.
 
Chama Alifananishaa na kulinganisha na wachezaji WAFUATAO.

1. Chama na Haruna NYONZIMA.[emoji777]

2. Chama na Saido.[emoji777]

3. Chama na Fei toto.[emoji777]

4. Chama na Azizi ki.[emoji777]

5. Chama na zoazoa.[emoji777]

6. Chama na Max[emoji777]
Umekunywa double kick?
 
Back
Top Bottom