Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Pole yakeTAARIFA YA CHE MARLONE KUPATA AJALI MBAYA MIKOCHENI...
Asubuhi ya leo wakati nikienda mazoezini nimekuta gari ikiwa imepata ajali mbaya eneo la Mikocheni pale Fezza....
Nilijiuliza na kuwaombea waliokuwemo sababu gari limeharibika vibaya.
Baadaye nimepewa taarifa beki Che Marlone wa Simba ni kati ya wahanga wa ajali hiyo na alikimbizwa hospitali kuangaliwa na nimeelezwa hakuumia ila dereva kaumia sana.
Pole kwakeNimepata taarifa beki wetu kisiki kapata ajali maeneo ya Mikocheni, alipokwenda kumpokea ndugu yake ambaye amekuja kumtembelea, sikusudii kuleta taharuki isipokuwa nimewasikia watu wakisema katika daladala, pole ukuta wa yericko kama ni kweli.
View attachment 2760548
Anatoa taarifa kama nani??yeye ni msemaji wa Simba?Hapakuwepo na haja ya kumtukana. Vipi ikidhibitika ni kweli?
Anatoa taarifa kama nani??yeye ni msemaji wa Simba?
Duh mkuu umeamka na hasira zako au jamaa ulikuwa unamtafuta kwa muda mrefu leo kaingia kwenye anga zako?Anatoa taarifa kama nani??yeye ni msemaji wa Simba?
Pole yake
Yanga ndio waliowatuma waendeshe gari huku wakijirekodi??, MBUMBUMBUKama ni kweli,hii sasa hii ni vita.
Utopolo mna project mbaya sana,ila mtakwama tu
Kama ni kweli,hii sasa ni vita.
Utopolo mna project mbaya sana,ila mtakwama tu
Yaani mtu atoke club kula bata akutane na dereva mlevi ,usingizie Utopolo?Kama ni kweli,hii sasa hii ni vita.
Utopolo mna project mbaya sana,ila mtakwama tu
Amegongana na dereva wa boda bodaYamegongana?
Kapinduka mwenyewe? Au nini kimelitokea gari?
Inamaana simba haina wachezaji wa akiba ??Sasa itakuwaje mechi na Dynamos? Maana Inonga nae ameumia na atakuwa nje kwa siku 14...
Wewe familia yako hawajawahi kupata ajali?, Kuna waliyemshusisha?.Kama ni kweli,hii sasa hii ni vita.
Utopolo mna project mbaya sana,ila mtakwama tu