Beki wa Simba SC, Che Malone apata ajali ya gari Mikocheni karibu na Feza School

Beki wa Simba SC, Che Malone apata ajali ya gari Mikocheni karibu na Feza School

Screenshot_20230921-165540.jpg
Screenshot_20230921-165540.jpg
Screenshot_20230921-165540.jpg
Screenshot_20230921-165540.jpg
Screenshot_20230921-165540.jpg
 
Kama ni kweli,hii sasa hii ni vita.
Utopolo mna project mbaya sana,ila mtakwama tu
Nilijua tu watu wenye mawazo ya kimangungu hamtakosa. Bado Mangungu naye atatokea mbele ya kamera soon na ngonjera z aina yko
 
Dereva wa boda boda aliyopata ajali kwa kugongana na gari ya Che Malone, anazikwa kesho maeneo ya Kawe ,,kwa Rondo
 
Nimepata taarifa beki wetu kisiki kapata ajali maeneo ya Mikocheni, alipokwenda kumpokea ndugu yake usiku wa kuamkia leo, Septemba 24 ambaye amekuja kumtembelea.

Sikusudii kuleta taharuki isipokuwa nimewasikia watu wakisema katika daladala, pole ukuta wa Yericko kama ni kweli.
View attachment 2760548

UPDATE
Taarifa za awali zinadai hakuumia wala kupata majeraha, lakini abiria mmoja aliyekuwa pamoja nae ndie aliumia. Hata hivyo, amepatiwa matibabu na kuruhusiwa kuondoka hospitalini asubuhi hii.
Mangungu atasema ni kampeni
 
Back
Top Bottom