Beki wa zamani wa Man United, Wes Brown afilisika

Chanzo kikubwa cha kufilisika kwa hao mamilionea ni KAMARI,WANAWAKE (ambao hupelekea kuvunjika kwa ndoa zao) na ULEVI.

Wengi wakistaafu soka huwa hawajui hata waanzishe biashara gani, hivyo viinua mgongo vyao huvitumia katika starehe, ulevi wa pombe/madawa, wanawake na kucheza kamari (sio hizi za jero jero bali ni maelfu ya dollar na pounds)
 
Sheria za wazungu zinawalinda sana wanawake, ukithubutu kuchepuka tu na malaya nje ya ndoa yako na mkeo akajua ujue ndoa huna, atadai talaka na mahakama itazigawa mali zako zote na bado utatakiwa utoe child support kwa watoto wako.
 
Wes Brown alikuwa ni moja ya mabeki visiki pale Man U enzi zile. Mplole, mkimya, asiye na mambo mengi uwanjani!! Naamini huyo mwanamke aliyekuwa naye, atakuwa amechangia pakubwa sana kumrudisha nyuma huyu mwamba.
halafu nahisi ndio beki aliyeongoza kucheza UEFA nyingi Manchester,halafu ni beki aliyeongoza kujifunga magoli mengi pale Manchester aiseee those days 👋👋👋
 
Na mimi ndio nilikuwa nawaza hivyo, kwamba, kipindi mtu analipwa pesa nyingi, je, anakuwa amewekeza kwenye nini? Maisha ya mpira ni mafupi sana.
 
Wale mnaoamini katika kuwashirikisha wake zenu mambo yenu yote (hasa ya mali/fedha) endeleeni tu. Sisi tuliokataa huo uzwazwa si mnatuona tumepitwa na wakati?

Endeleeni maana hamuwajui vyema hawa viumbe na wala hamjajifunza ya Samson na Delila.
 
Tukiwaambia KATAA NDOA Mnatuita sisi ni Mashoga haya subirini na Nyie Wa humu JF yawakute ndo mtajua Kwanin Ng'ombe Haiingii Period.
 
Hapa ndo nnapopata nguvu ya kuongeza mapambano ya #KATAANDOA.
NDOA NI UTAPELI.
NDOA NI KWAAJILI YA WANAWAKE NA WANAUME WAJINGA.
#TOKOMEZANDOA
#KATAANDOA

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…