Belgium ndio team yenye nafasi kubwa zaidi ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia 2018

Unaposema Belgium na France wana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa World Cup, ni vyema ungetoa sababu ili tujadili kwa mujibu wa sababu ulizotoa kama kuna ukweli. Tofauti na hapo unaacha maswali mengi......Humpendi Messi?....Umechoka kumsikia Messi?....oohhhh kwa sababu ya Lukaku??.....??.......??🙁
 
.

German na brazil hizi ndo timu zinazovutia mno kwa sasa
 
Germany,Brazil&France mmoja anabeba kati ya hawa
 
Huyo Belgium atangolewa hata na Iceland. Belgium n nzuri but haiana chemistry iliyounganika kuchallenge timu kama Brazil Spain Germany na France
 

Argentina anaenda kubeba ndoo.tena kiulaini
 
Tutaandika mengi mno. Kombe wanalichukua wakina DE MARIA.
 
Mara nyingi timu znabadilika, kuna miezi kma kumi kuifikia world cup, co kwamba watarud na viwango vya leo. Wapo watakaoshuka na wapo watakaopanda. Cha msingi tuombe uzima tuifikie hyo 2018 tuone.
 
Hivi nyie washabiki mnaisahau Vipi timu YA taifa YA malkia imefudhu kwa point nyingi ilikuwa inatoa doziiiii kwa Kila timu iliyokuwa group lakeee...
 
Ndugu yangu umefeli.

Messi au neymar anabeba kombe.

Germany anaondolewa robo fainali

France hata robo hatofika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…