Belgium ndio team yenye nafasi kubwa zaidi ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia 2018

Belgium ndio team yenye nafasi kubwa zaidi ya kutwaa ubingwa wa kombe la dunia 2018

Unaposema Belgium na France wana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa World Cup, ni vyema ungetoa sababu ili tujadili kwa mujibu wa sababu ulizotoa kama kuna ukweli. Tofauti na hapo unaacha maswali mengi......Humpendi Messi?....Umechoka kumsikia Messi?....oohhhh kwa sababu ya Lukaku??.....??.......??🙁
 
".....Mimi Deadbody nikiwa na akili timamu na afya pia natangaza hadharani bila kuficha chochote kuwa iwapo kombe lisipochukuliwa na Belgium au France nipigwe ban ya maisha kutumia JF na kifungo cha miaka kadhaa gerezani Kwa kosa la kutumia vibaya mtandao Kwa kuwadanganya watu."

Ombi lako limepokelewa na tutalifanyia kazi...LIFE BAN itahusika endapo belgium haitatwaa kombe, asante na karibu tena JF..tuonane 2018
.

German na brazil hizi ndo timu zinazovutia mno kwa sasa
 
Huyo Belgium atangolewa hata na Iceland. Belgium n nzuri but haiana chemistry iliyounganika kuchallenge timu kama Brazil Spain Germany na France
 
Unaposema Belgium na France wana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa World Cup, ni vyema ungetoa sababu ili tujadili kwa mujibu wa sababu ulizotoa kama kuna ukweli. Tofauti na hapo unaacha maswali mengi......Humpendi Messi?....Umechoka kumsikia Messi?....oohhhh kwa sababu ya Lukaku??.....??.......??🙁

Argentina anaenda kubeba ndoo.tena kiulaini
 
Mara nyingi timu znabadilika, kuna miezi kma kumi kuifikia world cup, co kwamba watarud na viwango vya leo. Wapo watakaoshuka na wapo watakaopanda. Cha msingi tuombe uzima tuifikie hyo 2018 tuone.
 
Hivi nyie washabiki mnaisahau Vipi timu YA taifa YA malkia imefudhu kwa point nyingi ilikuwa inatoa doziiiii kwa Kila timu iliyokuwa group lakeee...
 
Ndugu yangu umefeli.

Messi au neymar anabeba kombe.

Germany anaondolewa robo fainali

France hata robo hatofika.
 
Back
Top Bottom