Believe it or Believe it not: September 11, 2011 Twin tower were hit by Military Plane

Believe it or Believe it not: September 11, 2011 Twin tower were hit by Military Plane

MZIMU

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
4,058
Reaction score
1,373
Use your head now. Angalia hiyo ndege, chini imebeba makombora.



Wasikilize watoa ushuhuda hapo kua ndege Hii ya Pili, Sio ya kimarekani kama ilivyo dhaniwa mwanzo, na haikua na Alama ya shirika lolote la ndege Duniani. Wanasema " It was grey and it looks like a fighter jet."

<font size="4">
 
Last edited by a moderator:
kuna rafik alinionyesha kwenye quran iliandikwa sept 11 ndege ya chuma itaangusha jengo la refu na pacha kubwa kuliko yote lakin mwaka aujatajwa

HOAX,HOAX,HOAX! Quran ilishatambua uwepo wa aeroplane? Na skyscrapers,na hiyo sept 11 iliyotajwa kwenye hiyo quran ya (rafiki) ni kutoka kwenye Gregorian calendar? Au hii ya leo tarehe --1436? Ila naskia sayansi yooote imejazwa humo kwenye kitabu,na wasomaji wa kitabu hawajui lolote kuhusu sayansi,ila wachache mno waliokiasi kitabu.
 
HOAX,HOAX,HOAX! Quran ilishatambua uwepo wa aeroplane? Na skyscrapers,na hiyo sept 11 iliyotajwa kwenye hiyo quran ya (rafiki) ni kutoka kwenye Gregorian calendar? Au hii ya leo tarehe --1436? Ila naskia sayansi yooote imejazwa humo kwenye kitabu,na wasomaji wa kitabu hawajui lolote kuhusu sayansi,ila wachache mno waliokiasi kitabu.

wewe unabishana na maandiko si mimi. wametumia kwa kusema ndege ya chuma.

sikulazimishi kuamin
 
Hiyo ishu White House ya wakati huo na Pentagon walijua mchezo ulivyochezwa na kuuaminisha umma kuwa ni shambulio la kighaidi kutoka kwa Osama Bin Laden, lakini ilikuwa internally created, .... to instill fear.... na theories nyingine, ushahidi upo tu.
 
Probably those Planes carried huge bombs as you can on their bottom. And that could explain why all those two buildings collapsed to the ground. Ear witnesses said, they heard second huge explosions.

It was Sep 11, 2001 not 2011
 
Probably those Planes carried huge bombs as you can see on their bottom. And that could explain why all those two buildings collapsed to the ground. Ear witnesses said, they heard second huge explosions.

ear witnesses tena, inakuwaje hapo!
Probably you r just a conspiracy theorist. Wamejaa kibao huko youtube.
 
Nadhani Umezoea kusikia EYE WITNESS. Any way, the couldn't see but, they could only hear the big explosions.

you are so right! This is the first. Anywho this is what i know, few people know the truth, thousands grieving n the rest of us just we are just grasping for straws
 
wewe unabishana na maandiko si mimi. wametumia kwa kusema ndege ya chuma.

sikulazimishi kuamin
utakuwa umechanganya na utabiri wa Nostradamus.

"Two steel birds will fall from the sky on the Metropolis / The sky will burn at forty-five degrees latitude / Fire approaches the great new city / Immediately a huge, scattered flame leaps up / Within months, rivers will flow with blood / The undead will roam the earth for little time."


In the year of the new century and nine months,
From the sky will come a great King of Terror.
The sky will burn at forty-five degrees.
Fire approaches the great new city.

Notradamus aliongea hayo maneno mwaka 1554

 
Huwa sipendi sana ushabiki usiokuwa na ushaidi wa kutosha, kwanza nawachukia sana wamarekani kwani wana mbinu nyingi za ajabu ajabu kama kusingizia uchumi wa dunia umeporomoka , ati tu kwa sababu za kutaka nchi zingine wafe kwa njaa na ghamara za vitu fulani fulani vipande bei. Wamarekani ni watu wabaya sana wanaweza kukuzulia jambo baya la ugaidi ili mradi tu wakudidimizekwa uchumi wako
 
Back
Top Bottom