Believe it or Believe it not: September 11, 2011 Twin tower were hit by Military Plane

Wamebaki wachache wasiotakakujua kuwa ilikuwa ni "inside job",hata dhumuni la kufanya tukio lile liko wazi kabisa tofauti na miaka ya nyuma ilivyokuwa,...
 
Wamarekani wenyewe wali engineer hiyo attack ili kupitishwa PATRIOT ACT ambayo inaondoa kabisa swala la privacy hususan katika mawasiliano (tapping phones etc.)
 
Huwa sipendi sana ushabiki usiokuwa na ushaidi wa kutosha, kwanza nawachukia sana wamarekani kwani wana mbinu nyingi za ajabu ajabu kama kusingizia uchumi wa dunia umeporomoka , ati tu kwa sababu za kutaka nchi zingine wafe kwa njaa na ghamara za vitu fulani fulani vipande bei. Wamarekani ni watu wabaya sana wanaweza kukuzulia jambo baya la ugaidi ili mradi tu wakudidimizekwa uchumi wako

leta ushahidi sio unakurupuka kama umebanwa na haja kubwa!
 
HOAX,HOAX,HOAX! Quran ilishatambua uwepo wa aeroplane? Na skyscrapers,na hiyo sept 11 iliyotajwa kwenye hiyo quran ya (rafiki) ni kutoka kwenye Gregorian calendar? Au hii ya leo tarehe --1436? Ila naskia sayansi yooote imejazwa humo kwenye kitabu,na wasomaji wa kitabu hawajui lolote kuhusu sayansi,ila wachache mno waliokiasi kitabu.

na huyo aliyeshushiwa Quran amekufa akiwa hajui kusoma wala kuandika!
 
kuna rafik alinionyesha kwenye quran iliandikwa sept 11 ndege ya chuma itaangusha jengo la refu na pacha kubwa kuliko yote lakin mwaka aujatajwa
Hii Aya hakuna katika Quran yote wala katika Hadyth pia hakuna ingawa kuna Aya moja huwa watu wanainasibisha na stori hiyo aliyokueleza huyo rafiki yako asiyeijua vema Quran
 
Huwa sipendi sana ushabiki usiokuwa na ushaidi wa kutosha, kwanza nawachukia sana wamarekani kwani wana mbinu nyingi za ajabu ajabu kama kusingizia uchumi wa dunia umeporomoka , ati tu kwa sababu za kutaka nchi zingine wafe kwa njaa na ghamara za vitu fulani fulani vipande bei. Wamarekani ni watu wabaya sana wanaweza kukuzulia jambo baya la ugaidi ili mradi tu wakudidimizekwa uchumi wako

Worse still your hatred is ungrounded and it won't change anything!
 
wakuu iko aya katika Quran tukufu inayohusiana na sept 11 attack. labda tujaribu kuichambua.
1.Hii aya inapatikana katika sura ya tisa-Suratul Ahzab ( shambulio nalo lilitokea mwezi wa tisa yaani sept)
2. hii sura inapatikana katika Juzuu au Chapter ya 11. (shambulio nalo lilikuwa tarehe 11)
3. katika aya ya 110 katika sura hiindio kuna aya hiyo (kumbuka majengo yale yalikuwa na ghorofa 110.
4. aya hiyo inasema na mimi nanukuu "hayatodumu majengo yao ambayo wameyajenga kwa shaka ndani ya mioyo yao" (S.A)
NB: WHETHER NI COINCIDENCE AU ILITABIRI SHAMBULIO HILI MUNGU NDIE ANAEJUA.
 
Asante kwa kuwapa vifungu
 
Natamani FaizaFoxy aje atudadafulie hiyo aya ambayo yule mdau na wewe mmezizungumziaa
 
Last edited by a moderator:
KUNA mambo mengi yanayotendeka duniani, yakiwa na makusudi maalumu kwa malengo maalumu ili kutimiza shabaha maalum. Lakini kiasi tunachokijua kuhusu mambo hayo ni kidogo mno kama vile chembe ya mchanga mbele ya fukwe kubwa za bahari za dunia.

Richard Wurman katika kitabu chake, Information Anxiety anaandika hivi: "Kwa muda mrefu watu hawakutambua kiasi cha mambo ambayo hawakujua. Hawakujua kuwa kulikuwa na mambo mengi ambayo hawakujua. Lakini sasa watu wanajua kwamba kuna mambo ambayo hawajui, na hilo ndilo linalowafanya wahangaike."

Hata hivyo, wengi wetu tunafikiri kuwa sasa tunajua, kumbe tunachojua ni kutojua kuwa hatujui. Hata kujua peke yake hakutoshi. Kinachotakiwa ni kujua kati ya uongo na ukweli, na kati ya ukweli na yale tunayoambiwa tuyaamini kuwa ni ya kweli.

Mwandishi mwingine, David Shenk, akaenda mbali zaidi. Katika kitabu chake, Data Smog-Surviving the Information Glut, anasema: "Habari zikizidi mno huchafua data na kuzitia ukungu. Ukungu wa data huzuia; hautoi nafasi ya dakika chache za ukimya na kutafakari, na unazuia kufikiria kwa makini kunakohitajiwa sana …unatusababishia mkazo wa akili."

Ni kweli kwamba habari nyingi kupita kiasi, kama ilivyo kwa mambo yote yanayopita kiasi, husumbua sana. Lakini kwa kutazama mambo kwa uangalifu, ni bora zaidi kuwa na habari nyingi kuliko kutokuwa na habari zozote, au ni bora zaidi kuwa na habari nyingi kuliko kutokuwa na habari za kutosha.

Lakini inakuwa mbaya zaidi tunapokuwa na habari tunazofikiri kwamba zinatosha, kumbe ni habari za uongo au kumbe tumedanganywa. Tatizo ni kwamba sisi wanadamu tumetumbukia katika wingi wa habari lakini tuna njaa ya kujua. Tuna habari nyingi lakini hatujui mambo mengi.

Habari peke yake hazielimishi. Hatuwezi kufafanua ni ipi habari zilizokosewa-kwa bahati mbaya au kwa makusudi, au iliyo kinyume, au propaganda katika mazingira yanayotawala habari.

Ni mara ngapi habari za magazeti zimekanushwa na kisha magazeti hayo kuomba radhi? Hilo linamaanisha habari hizo hazikuwa sahihi zilipoandikwa kwa mara ya kwanza.

Tukiingia moja kwa moja katika mada yetu ya leo, tutazame mazingira ya kile kilichoitwa ‘September 11th'. Habari zinazolizunguka tukio hilo ni za kutatanisha kuliko dunia ilivyo tayari kukiri.

Nani aliyefanya mashambulizi dhidi ya Marekani Septemba 11, 2001? Na la maana zaidi, mashambulizi hayo yalikuwa na lengo gani? Kwanini yalifanyika Septemba 11 badala ya tarehe nyingine yoyote? Kuhusiana na tukio hilo kuna maswali mengi kuliko majibu. Na maswali mengi ya msingi hayajawahi kujibiwa.

Kuna kile kilichoitwa Nadharia ya Kigwena (Conspiracy Theory). Nadharia hii hujaribu kueleza chanzo au asili ya tukio (hususan la kisiasa, kijamii au la kihistoria) kana kwamba limefanywa kwa siri, hila na njama na watu au kikundi fulani cha watu kutimiza malengo fulani.

Ingawa inasemekana kuwa watu huamini kile wanachoona, saikolojia halisi haikubaliani na hekima hiyo. Badala yake saikolojia hiyo inasema kwamba watu "huona kile wanachoamini" na wala si kwamba "huamini kile wanachoona". Tofauti hiyo ni ndogo, lakini ni ya maana sana.

Tukio la Septemba 11, 2001 limejengewa nadharia za aina hiyo. Wapo wanaodai kuwa Rais wa Marekani, George W. Bush na watu wake ndio waliofanya mashambulizi hayo kuwapumbaza watu ili atimize shabaha zake zilizoanzishwa na familia yake miongo mingi iliyopita.

Lakini wengi wanaamini aliyefanya ni Osama Bin Laden na kundi lake. Wengine wanaamini kuwa ni Waisrael walifanya shambulizi hilo.

Inawezekana kuwa nadharia zote hizo hazisemi kweli. Na ikakubalika Osama bin Laden na kundi lake la kigaidi ndiye aliyefanya tendo hilo. Bila kuchambua nadharia hizo, tutazame yale mambo ya kihistoria na ya kimantiki tunayoweza kukubaliana.

Namba 11 ni ishara inayotumiwa sana kwa malengo fulani. Kisha kuna 911, ambayo nayo ina namba 11. Hii, kwa wale wanaofuata mambo ya unajimu, wanaweza kudhani kuwa ninachoandika hapa ni falaki. Huu sio unajimu, ni uhakika.

Ukitazama majengo yaliyoangushwa Marekani jinsi yalivyokuwa yamesimama, utaona namba 11 kwa sababu ni minara miwili iliyokaa sambamba, na ndege ya kwanza kugonga majengo hayo Septemba 11 ni ‘Flight 11'.

Kutokea mara kwa mara kwa hii namba 11 katika tukio la Septemba 11 ni jambo la ajabu kwa wengi, lakini si kwa wale wanaojua maana ya namba hiyo na ishara zake na ni kwanini wao huitumia.

Hadi Jumanne ya Septemba 11, 2001 ilikuwa imepita miaka 11 barabara tangu George Bush (baba wa Rais wa sasa) kuhutubia Bunge la Marekani Jumanne ya Septemba 11, 1990 akizungumzia Vita ya Ghuba na kutamka shabaha ya tano ya Marekani aliyoitaja kama "New World Order"ambayo wachambuzi wa mambo huitafsiri kuwa ni mpango wa Marekani wa kuitawala dunia.

Makao Makuu ya jeshi la Marekani (Pentagon), ndiyo yaliyozungukwa zaidi na ‘muujiza' huu wa namba 11, hasa Septemba 11, au tuseme 911. Ndege inayodaiwa kugonga Pentagon ni ‘Flight 77'. Ukiigawa 77 kwa 7 utapata 11, na katika hiyo 7-1-1=5. Namba tano ndiyo namba halisi ya The Pentagon. Tafsiri ya pentagon ni kitu chenye pembe 5.

Hilo huenda halitoshi. Lakini kuna ukweli mwingine wa kihistoria. Ujenzi wa jengo la The Pentagonulianza rasmi Alhamisi ya Septemba 11, 1941, na miaka 60 barabara baada ya ujenzi wake kuanza jengo hilo likashambuliwa.

Jengo la Pentagon lilianza kujengwa kutokana na maombi ya Brigedia Jenerali Brehon B. Sommervell alilolitoa Julai 1941. Hatimaye jiwe la msingi likawekwa Septemba 11, 1941.

Jumanne ya Mei 22, 1962, (22 inahusiana moja kwa moja na namba 11) ndege ya shirika la ndege la Continental, ‘Flight 11', 707, ilikuwa ndege ya kwanza kuhujumiwa wakati bomu lilipolipuka ndani yake ikiwa angani na kuua watu wote 45 waliokuwamo ndani yake. Tazama hizo namba, 11, 22, na 707, au 77 zilivyo.

Namba 11, 22, na 77 zitajirudia katika mambo mengi. John Kennedy, aliyekuwa Rais wa Marekani kupitia chama cha Democrat, aliuawa kwa kupigwa risasi Ijumaa ya Novemba 22, 1963. Ukipanga tarehe hizo katika tarakimu zitasomeka hivi: 22.11.1963.

Septemba 11, 1970, na siku mbili zinazoizunguka siku hiyo, ndege nne zilizokuwa zikielekea Marekani zilitekwa nyara katika anga la Ulaya zikalipuliwa katika jangwa la Jordan. Ndege ya mwisho katika hizo ilitekwa Septemba 9.

Septemba 11, 1972, Rais Richard Nixon wa Marekani aliunda jopo la watu kuandaa la kutengeneza mikakati ya kulilinda taifa la Marekani dhidi ya matendo ya kigaidi. Mmoja wa waliokuwa katika jopo hilo ni Henry Kissinger ambaye baadaye akaja kuwa kiongozi wa Tume ya kuchunguza tukio la Septemba 11, 2001.

Jopo hilo liliundwa na Rais Nixon mara baada ya makomando wa Palestina kuwachinja Waisrael 11 waliokuwa wakishiriki Michezo ya Olimpiki mjini Munich, Ujerumani.

Septemba 11, 1973, majeshi ya Chile, yakiongozwa na Jenerali Augusto Pinochet, ambaye inadaiwa alikuwa akisaidiwa na Shirika la Kijasusi la Marekani, CIA, aliipindua serikali ya Rais Salvador Allende.

Septemba 11, 1997, Kampuni ya ulinzi ya Stratesec ambako mtoto wa ‘Baba' George Bush, Marvin, ni mwanachama wa bodi, ilitangazwa rasmi. Kampuni hiyo yenye mkataba wa ulinzi na Uwanja wa Ndege wa Dulles, United Airlines na Los Alamos National Laboratories, ilikuwa na mkataba wa ulinzi kama huo na majengo ya WTC yaliyopigwa na ndege Septemba 11, 2001.

Kampuni hiyo ilipoanzishwa ilijulikana kwa jina la Securacom. Marvin Bush aliendelea kuchaguliwa kuwa mjumbe katika bodi ya wakurugenzi wa kampuni hiyo kila mwaka hadi Juni 2000.

Septemba 11, 1998, mwanasheria Kenneth Starr alituma taarifa iliyojulikana kama 'The Starr Report' kwenda Bunge la Marekani ikimshutumu Rais Bill Clinton kwa makosa 11 yaliyokuwa na uzito wa kutosha kumwondosha madarakani.

Mwaka 1967 nchini Marekani ilipendekezwa kubuniwa namba moja ambayo ingekuwa ya dharura kwa taifa lote la nchi hiyo. Kampuni ya Simu ya Marekani (AT&T), mwaka 1968, ilitangaza kuanzisha namba 911, au tisa-moja-moja au tisa-kumi-na-moja (nine-eleven).

Kuanzia wakati huo, Septemba 11 ilikuwa ikitazamwa kama siku ya dharura katika taifa hilo. Mambo hayo yalibadilika mara baada ya mashambulizi ya Septemba 11. Canada nayo, mwaka 1980, ilianza kutumia namba hiyo ya dharura, 911.

Mbali na namba 911, kuna nyingine kama 211 kwa ajili ya habari za utabiri wa hali ya hewa na 411 kwa ajili ya kupata habari nyinginezo. Zote hizo zina namba 11 mwishoni. Ili kupata namba ya dharura, Marekani iliamua kuongeza namba 9 na kupata 911.

Hayo yote ni mambo ya hakika. Lakini je, ni jambo la bahati mbaya kwamba namba 11 na 9 pamoja na zile nyingine kama 22, 33, 44, 55, 66 na 77 zinajirudia-rudia? Kama unadhani huu ni unajimu, au falaki, tafakari kwa makini zaidi.

Tarehe ya mashambulizi ya Marekani: 9/11 - 9 + 1 + 1 = 11. Septemba 11 ni siku ya 254 ya mwaka: 2 + 5 + 4 = 11. Baada ya Septemba 11 kuna siku 111 zilizobaki hadi kumalizika kwa mwaka. 119 ni namba ya mwito wa simu wa Iraq na Iran kama Tanzania ilivyo na 255. Na 1 + 1 + 9 = 11.

Majengo ya WTC, yakiwa yamesimama sambamba huonakana kama namba 11. Ndege ya kwanza kugonga jengo la kwanza ilikuwa ni ‘Flight 11'.

Lakini kuna mengi zaidi ya hayo. Jimbo la New York ni la 11 kuingizwa katika taifa la Marekani. Na ukisoma vyema herufi za neno ‘New York City' utagundua kuwa ziko 11.

Neno ‘Afghanistan', ambayo inahusiana moja kwa moja na Septemba 11, ina herufi 11. Neno ‘The Pentagon' nalo lina herufi 11. Jina la ‘Ramzi Yousef', anayedaiwa kuendesha mashambulizi ya WTC mwaka 1993, lina herufi 11. ‘Flight 11', ikiwa na abiria 92 ndani yake, hesabu lake ni (92) 9 + 2 = 11. Ndege ‘Flight 77', ikiwa na abiria 65 ndani yake, ukipanga tarakimu zake utapata 6 + 5 = 11.

Tutazame mahesabu mengine. Tarehe ya mashambulizi: 11/9; 11 - 9 = 2. September 11 = 1 + 1 = 2. Septemba 11 ni siku ya 254 ya mwaka: 2 + 5 + 4 = 11, na 11 ni sawa na 1 + 1 = 2. Majengo ya ‘World Trade Center' ilikuwa na minara miwili (2) na iligongwa na ndege mbili (2).

Namba 11 imehusishwa na nguvu za miujiza au za siri tangu zamani za kale. Aina zote za utafiti wa namba, ikiwemo elimu ya namba, ‘Numerology', zote zinatoa umuhimu fulani kwa namba 11 na zile zinazohusiana nayo kama 22, 33, 44, 55, 66, 77, 88, na 99.

Namba 11 hufikiriwa kuwa kuu zaidi ya zote. Vita Kuu ya Kwanza ilimalizika saa ya 11, siku ya 11 katika mwezi wa 11 wa mwaka 1918. Hadi leo, ingawa imeshaanza kusahaulika, waliopigana vita hiyo huenziwa Novemba 11.

Kwa baadhi ya Wamarekani wanaojua umuhimu wa namba 11 ulivyo kwao, hata kusherehekea mwaka wa 111 wa kuzaliwa kwa mtu wao huepuka sherehe hiyo. Namba 11 ni muhimu sana kwao.

Kuna mambo mengi yaliyojificha kuliko yale tunayodhani kuwa tunayajua. Tukio la Septemba 11 lina utata ambao ni vigumu kuutatua. Vyombo vingi vya habari vimeandika tu yale ambayo watawala walitaka yaandikwe. Lakini ukweli wote wa yaliyotokea ni Mungu peke yake anayeujua.
Source;
http://wshao.blogspot.com
 
mh,ila uongo ni mwingi zaidi,hasa katika namba zako ambazo unataka tuamini,
KUNA mambo mengi yanayotendeka duniani, yakiwa na makusudi maalumu kwa malengo maalumu ili kutimiza shabaha maalum. Lakini kiasi tunachokijua kuhusu mambo hayo ni kidogo mno kama vile chembe ya mchanga mbele ya fukwe kubwa za bahari za dunia.

Richard Wurman katika kitabu chake, Information Anxiety anaandika hivi: “Kwa muda mrefu watu hawakutambua kiasi cha mambo ambayo hawakujua. Hawakujua kuwa kulikuwa na mambo mengi ambayo hawakujua. Lakini sasa watu wanajua kwamba kuna mambo ambayo hawajui, na hilo ndilo linalowafanya wahangaike.”

Hata hivyo, wengi wetu tunafikiri kuwa sasa tunajua, kumbe tunachojua ni kutojua kuwa hatujui. Hata kujua peke yake hakutoshi. Kinachotakiwa ni kujua kati ya uongo na ukweli, na kati ya ukweli na yale tunayoambiwa tuyaamini kuwa ni ya kweli.

Mwandishi mwingine, David Shenk, akaenda mbali zaidi. Katika kitabu chake, Data Smog—Surviving the Information Glut, anasema: “Habari zikizidi mno huchafua data na kuzitia ukungu. Ukungu wa data huzuia; hautoi nafasi ya dakika chache za ukimya na kutafakari, na unazuia kufikiria kwa makini kunakohitajiwa sana …unatusababishia mkazo wa akili.”

Ni kweli kwamba habari nyingi kupita kiasi, kama ilivyo kwa mambo yote yanayopita kiasi, husumbua sana. Lakini kwa kutazama mambo kwa uangalifu, ni bora zaidi kuwa na habari nyingi kuliko kutokuwa na habari zozote, au ni bora zaidi kuwa na habari nyingi kuliko kutokuwa na habari za kutosha.

Lakini inakuwa mbaya zaidi tunapokuwa na habari tunazofikiri kwamba zinatosha, kumbe ni habari za uongo au kumbe tumedanganywa. Tatizo ni kwamba sisi wanadamu tumetumbukia katika wingi wa habari lakini tuna njaa ya kujua. Tuna habari nyingi lakini hatujui mambo mengi.

Habari peke yake hazielimishi. Hatuwezi kufafanua ni ipi habari zilizokosewa—kwa bahati mbaya au kwa makusudi, au iliyo kinyume, au propaganda katika mazingira yanayotawala habari.

Ni mara ngapi habari za magazeti zimekanushwa na kisha magazeti hayo kuomba radhi? Hilo linamaanisha habari hizo hazikuwa sahihi zilipoandikwa kwa mara ya kwanza.

Tukiingia moja kwa moja katika mada yetu ya leo, tutazame mazingira ya kile kilichoitwa ‘September 11th’. Habari zinazolizunguka tukio hilo ni za kutatanisha kuliko dunia ilivyo tayari kukiri.

Nani aliyefanya mashambulizi dhidi ya Marekani Septemba 11, 2001? Na la maana zaidi, mashambulizi hayo yalikuwa na lengo gani? Kwanini yalifanyika Septemba 11 badala ya tarehe nyingine yoyote? Kuhusiana na tukio hilo kuna maswali mengi kuliko majibu. Na maswali mengi ya msingi hayajawahi kujibiwa.

Kuna kile kilichoitwa Nadharia ya Kigwena (Conspiracy Theory). Nadharia hii hujaribu kueleza chanzo au asili ya tukio (hususan la kisiasa, kijamii au la kihistoria) kana kwamba limefanywa kwa siri, hila na njama na watu au kikundi fulani cha watu kutimiza malengo fulani.

Ingawa inasemekana kuwa watu huamini kile wanachoona, saikolojia halisi haikubaliani na hekima hiyo. Badala yake saikolojia hiyo inasema kwamba watu “huona kile wanachoamini” na wala si kwamba “huamini kile wanachoona”. Tofauti hiyo ni ndogo, lakini ni ya maana sana.

Tukio la Septemba 11, 2001 limejengewa nadharia za aina hiyo. Wapo wanaodai kuwa Rais wa Marekani, George W. Bush na watu wake ndio waliofanya mashambulizi hayo kuwapumbaza watu ili atimize shabaha zake zilizoanzishwa na familia yake miongo mingi iliyopita.

Lakini wengi wanaamini aliyefanya ni Osama Bin Laden na kundi lake. Wengine wanaamini kuwa ni Waisrael walifanya shambulizi hilo.

Inawezekana kuwa nadharia zote hizo hazisemi kweli. Na ikakubalika Osama bin Laden na kundi lake la kigaidi ndiye aliyefanya tendo hilo. Bila kuchambua nadharia hizo, tutazame yale mambo ya kihistoria na ya kimantiki tunayoweza kukubaliana.

Namba 11 ni ishara inayotumiwa sana kwa malengo fulani. Kisha kuna 911, ambayo nayo ina namba 11. Hii, kwa wale wanaofuata mambo ya unajimu, wanaweza kudhani kuwa ninachoandika hapa ni falaki. Huu sio unajimu, ni uhakika.

Ukitazama majengo yaliyoangushwa Marekani jinsi yalivyokuwa yamesimama, utaona namba 11 kwa sababu ni minara miwili iliyokaa sambamba, na ndege ya kwanza kugonga majengo hayo Septemba 11 ni ‘Flight 11’.

Kutokea mara kwa mara kwa hii namba 11 katika tukio la Septemba 11 ni jambo la ajabu kwa wengi, lakini si kwa wale wanaojua maana ya namba hiyo na ishara zake na ni kwanini wao huitumia.

Hadi Jumanne ya Septemba 11, 2001 ilikuwa imepita miaka 11 barabara tangu George Bush (baba wa Rais wa sasa) kuhutubia Bunge la Marekani Jumanne ya Septemba 11, 1990 akizungumzia Vita ya Ghuba na kutamka shabaha ya tano ya Marekani aliyoitaja kama “New World Order”ambayo wachambuzi wa mambo huitafsiri kuwa ni mpango wa Marekani wa kuitawala dunia.

Makao Makuu ya jeshi la Marekani (Pentagon), ndiyo yaliyozungukwa zaidi na ‘muujiza’ huu wa namba 11, hasa Septemba 11, au tuseme 911. Ndege inayodaiwa kugonga Pentagon ni ‘Flight 77’. Ukiigawa 77 kwa 7 utapata 11, na katika hiyo 7-1-1=5. Namba tano ndiyo namba halisi ya The Pentagon. Tafsiri ya pentagon ni kitu chenye pembe 5.

Hilo huenda halitoshi. Lakini kuna ukweli mwingine wa kihistoria. Ujenzi wa jengo la The Pentagonulianza rasmi Alhamisi ya Septemba 11, 1941, na miaka 60 barabara baada ya ujenzi wake kuanza jengo hilo likashambuliwa.

Jengo la Pentagon lilianza kujengwa kutokana na maombi ya Brigedia Jenerali Brehon B. Sommervell alilolitoa Julai 1941. Hatimaye jiwe la msingi likawekwa Septemba 11, 1941.

Jumanne ya Mei 22, 1962, (22 inahusiana moja kwa moja na namba 11) ndege ya shirika la ndege la Continental, ‘Flight 11’, 707, ilikuwa ndege ya kwanza kuhujumiwa wakati bomu lilipolipuka ndani yake ikiwa angani na kuua watu wote 45 waliokuwamo ndani yake. Tazama hizo namba, 11, 22, na 707, au 77 zilivyo.

Namba 11, 22, na 77 zitajirudia katika mambo mengi. John Kennedy, aliyekuwa Rais wa Marekani kupitia chama cha Democrat, aliuawa kwa kupigwa risasi Ijumaa ya Novemba 22, 1963. Ukipanga tarehe hizo katika tarakimu zitasomeka hivi: 22.11.1963.

Septemba 11, 1970, na siku mbili zinazoizunguka siku hiyo, ndege nne zilizokuwa zikielekea Marekani zilitekwa nyara katika anga la Ulaya zikalipuliwa katika jangwa la Jordan. Ndege ya mwisho katika hizo ilitekwa Septemba 9.

Septemba 11, 1972, Rais Richard Nixon wa Marekani aliunda jopo la watu kuandaa la kutengeneza mikakati ya kulilinda taifa la Marekani dhidi ya matendo ya kigaidi. Mmoja wa waliokuwa katika jopo hilo ni Henry Kissinger ambaye baadaye akaja kuwa kiongozi wa Tume ya kuchunguza tukio la Septemba 11, 2001.

Jopo hilo liliundwa na Rais Nixon mara baada ya makomando wa Palestina kuwachinja Waisrael 11 waliokuwa wakishiriki Michezo ya Olimpiki mjini Munich, Ujerumani.

Septemba 11, 1973, majeshi ya Chile, yakiongozwa na Jenerali Augusto Pinochet, ambaye inadaiwa alikuwa akisaidiwa na Shirika la Kijasusi la Marekani, CIA, aliipindua serikali ya Rais Salvador Allende.

Septemba 11, 1997, Kampuni ya ulinzi ya Stratesec ambako mtoto wa ‘Baba’ George Bush, Marvin, ni mwanachama wa bodi, ilitangazwa rasmi. Kampuni hiyo yenye mkataba wa ulinzi na Uwanja wa Ndege wa Dulles, United Airlines na Los Alamos National Laboratories, ilikuwa na mkataba wa ulinzi kama huo na majengo ya WTC yaliyopigwa na ndege Septemba 11, 2001.

Kampuni hiyo ilipoanzishwa ilijulikana kwa jina la Securacom. Marvin Bush aliendelea kuchaguliwa kuwa mjumbe katika bodi ya wakurugenzi wa kampuni hiyo kila mwaka hadi Juni 2000.

Septemba 11, 1998, mwanasheria Kenneth Starr alituma taarifa iliyojulikana kama 'The Starr Report' kwenda Bunge la Marekani ikimshutumu Rais Bill Clinton kwa makosa 11 yaliyokuwa na uzito wa kutosha kumwondosha madarakani.

Mwaka 1967 nchini Marekani ilipendekezwa kubuniwa namba moja ambayo ingekuwa ya dharura kwa taifa lote la nchi hiyo. Kampuni ya Simu ya Marekani (AT&T), mwaka 1968, ilitangaza kuanzisha namba 911, au tisa-moja-moja au tisa-kumi-na-moja (nine-eleven).

Kuanzia wakati huo, Septemba 11 ilikuwa ikitazamwa kama siku ya dharura katika taifa hilo. Mambo hayo yalibadilika mara baada ya mashambulizi ya Septemba 11. Canada nayo, mwaka 1980, ilianza kutumia namba hiyo ya dharura, 911.

Mbali na namba 911, kuna nyingine kama 211 kwa ajili ya habari za utabiri wa hali ya hewa na 411 kwa ajili ya kupata habari nyinginezo. Zote hizo zina namba 11 mwishoni. Ili kupata namba ya dharura, Marekani iliamua kuongeza namba 9 na kupata 911.

Hayo yote ni mambo ya hakika. Lakini je, ni jambo la bahati mbaya kwamba namba 11 na 9 pamoja na zile nyingine kama 22, 33, 44, 55, 66 na 77 zinajirudia-rudia? Kama unadhani huu ni unajimu, au falaki, tafakari kwa makini zaidi.

Tarehe ya mashambulizi ya Marekani: 9/11 - 9 + 1 + 1 = 11. Septemba 11 ni siku ya 254 ya mwaka: 2 + 5 + 4 = 11. Baada ya Septemba 11 kuna siku 111 zilizobaki hadi kumalizika kwa mwaka. 119 ni namba ya mwito wa simu wa Iraq na Iran kama Tanzania ilivyo na 255. Na 1 + 1 + 9 = 11.

Majengo ya WTC, yakiwa yamesimama sambamba huonakana kama namba 11. Ndege ya kwanza kugonga jengo la kwanza ilikuwa ni ‘Flight 11’.

Lakini kuna mengi zaidi ya hayo. Jimbo la New York ni la 11 kuingizwa katika taifa la Marekani. Na ukisoma vyema herufi za neno ‘New York City’ utagundua kuwa ziko 11.

Neno ‘Afghanistan’, ambayo inahusiana moja kwa moja na Septemba 11, ina herufi 11. Neno ‘The Pentagon’ nalo lina herufi 11. Jina la ‘Ramzi Yousef’, anayedaiwa kuendesha mashambulizi ya WTC mwaka 1993, lina herufi 11. ‘Flight 11’, ikiwa na abiria 92 ndani yake, hesabu lake ni (92) 9 + 2 = 11. Ndege ‘Flight 77’, ikiwa na abiria 65 ndani yake, ukipanga tarakimu zake utapata 6 + 5 = 11.

Tutazame mahesabu mengine. Tarehe ya mashambulizi: 11/9; 11 - 9 = 2. September 11 = 1 + 1 = 2. Septemba 11 ni siku ya 254 ya mwaka: 2 + 5 + 4 = 11, na 11 ni sawa na 1 + 1 = 2. Majengo ya ‘World Trade Center’ ilikuwa na minara miwili (2) na iligongwa na ndege mbili (2).

Namba 11 imehusishwa na nguvu za miujiza au za siri tangu zamani za kale. Aina zote za utafiti wa namba, ikiwemo elimu ya namba, ‘Numerology’, zote zinatoa umuhimu fulani kwa namba 11 na zile zinazohusiana nayo kama 22, 33, 44, 55, 66, 77, 88, na 99.

Namba 11 hufikiriwa kuwa kuu zaidi ya zote. Vita Kuu ya Kwanza ilimalizika saa ya 11, siku ya 11 katika mwezi wa 11 wa mwaka 1918. Hadi leo, ingawa imeshaanza kusahaulika, waliopigana vita hiyo huenziwa Novemba 11.

Kwa baadhi ya Wamarekani wanaojua umuhimu wa namba 11 ulivyo kwao, hata kusherehekea mwaka wa 111 wa kuzaliwa kwa mtu wao huepuka sherehe hiyo. Namba 11 ni muhimu sana kwao.

Kuna mambo mengi yaliyojificha kuliko yale tunayodhani kuwa tunayajua. Tukio la Septemba 11 lina utata ambao ni vigumu kuutatua. Vyombo vingi vya habari vimeandika tu yale ambayo watawala walitaka yaandikwe. Lakini ukweli wote wa yaliyotokea ni Mungu peke yake anayeujua.
Source;
http://wshao.blogspot.com
 
Natamani FaizaFoxy aje atudadafulie hiyo aya ambayo yule mdau na wewe mmezizungumziaa

Hizo aya (naweka context) ni hizi hapa, mimi si mjuzi wa kufasir (kuchambuwa), nna ziweka kama zilivyo:

Qur'an 9:107 - 113

107. Na wapo walio jenga msikiti kwa ajili ya madhara na ukafiri na kuwafarikisha Waumini, na pa kuvizia kwa walio mpiga vita Mwenyezi Mungu na Mtume wake hapo kabla. Na bila ya shaka wataapa kwamba: Hatukukusudia ila wema tu. Na Mwenyezi Mungu anashuhudia kuwa wao ni waongo.***
9_108.GIF
108. Usisimame kwenye msikiti huo kabisa. Msikiti ulio jengwa juu ya msingi wa uchamngu tangu siku ya mwanzo unastahiki zaidi wewe usimame ndani yake. Humo wamo watu wanao penda kujitakasa. Na Mwenyezi Mungu anawapenda wanao jitakasa.***
9_109.GIF
109. Je! Mwenye kuweka msingi wa jengo lake juu ya kumcha Mwenyezi Mungu na radhi zake ni bora au mwenye kuweka msingi wa jengo lake juu ya ukingo wa shimo linalo burugunyika, na likaburugunyika naye katika Moto wa Jahannamu? Na Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhaalimu.***
9_110.GIF
110. Na jengo lao hilo walilo lijenga litakuwa sababu ya kutia wasiwasi nyoyoni mwao mpaka nyoyo zao hizo zikatike vipande vipande. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua Mwenye hikima.***
9_111.GIF
111. Hakika Mwenyezi Mungu amenunua kwa Waumini nafsi zao na mali zao kwa kuwa wao watapata Pepo. Wanapigana katika Njia ya Mwenyezi Mungu - wanauwa na wanauwawa. Hii ni ahadi aliyo jilazimisha kwa Haki katika Taurati na Injili na Qur'ani. Na nani atimizae ahadi kuliko Mwenyezi Mungu? Basi furahini kwa biashara yenu mliyo fanya naye. Na huko ndiko kufuzu kukubwa,***
9_112.GIF
112. (Kwa) wanao tubia, wanao abudu, wanao himidi, wanao kimbilia kheri, wanao rukuu, wanao sujudu, wanao amrisha mema na wanao kataza maovu, na wanao linda mipaka ya Mwenyezi Mungu. Na wabashirie Waumini.***
9_113.GIF
113. Haimpasii Nabii na wale walio amini kuwatakia msamaha washirikina, ijapo kuwa ni jamaa zao, baada ya kwisha bainika kuwa hao ni watu wa Motoni.***
 
Al-qaeda walikiri kuhusika na shambulio hilo!! Osama hakuishia tu kukiri,ila pia alionyesha kufurahishwa na jinsi mpango wenyewe ulivyoenda vizuri!! Osama ameonekana kwenye video tapes kadhaa akipeleka ujumbe kwa marekani kuwakumbusha kuwa the war is not over yet,tokea shambulio hilo la sept 11 kumetokea mashambulio mengine madogo kadhaa,pamoja na majaribio kadhaa ya ugaidi,na hata pale mission ilipo fail bado al qaeda hawakusita kujitokeza na kuyakiri yale waliyoya suka wao, kuhusu hilo la sept 11 labda mungeniambia kuwa marekani ndiyo iliyowatuma al qaeda na osama kutekeleza uhalifu huo!! Otherwise the string of conspiracies will cover the truth sussesfully.
 
Use your head now. Angalia hiyo ndege, chini imebeba makombora.

Wasikilize watoa ushuhuda hapo kua ndege Hii ya Pili, Sio ya kimarekani kama ilivyo dhaniwa mwanzo, na haikua na Alama ya shirika lolote la ndege Duniani. Wanasema " It was grey and it looks like a fighter jet."

<font size="4">

Hiyo inaitwa WAR against terrorism who is terror,where did he come from why military invansion in iraq,afghanstan,libya..why osama bin laden killed in secrecy...so many thing happen after that day but all are human consipiracy and mean to be happen by us government...
 
Last edited by a moderator:
Hizo aya (naweka context) ni hizi hapa, mimi si mjuzi wa kufasir (kuchambuwa), nna ziweka kama zilivyo:

Qur'an 9:107 - 113

107. Na wapo walio jenga msikiti kwa ajili ya madhara na ukafiri na kuwafarikisha Waumini, na pa kuvizia kwa walio mpiga vita Mwenyezi Mungu na Mtume wake hapo kabla. Na bila ya shaka wataapa kwamba: Hatukukusudia ila wema tu. Na Mwenyezi Mungu anashuhudia kuwa wao ni waongo.***
9_108.GIF
108. Usisimame kwenye msikiti huo kabisa. Msikiti ulio jengwa juu ya msingi wa uchamngu tangu siku ya mwanzo unastahiki zaidi wewe usimame ndani yake. Humo wamo watu wanao penda kujitakasa. Na Mwenyezi Mungu anawapenda wanao jitakasa.***
9_109.GIF
109. Je! Mwenye kuweka msingi wa jengo lake juu ya kumcha Mwenyezi Mungu na radhi zake ni bora au mwenye kuweka msingi wa jengo lake juu ya ukingo wa shimo linalo burugunyika, na likaburugunyika naye katika Moto wa Jahannamu? Na Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhaalimu.***
9_110.GIF
110. Na jengo lao hilo walilo lijenga litakuwa sababu ya kutia wasiwasi nyoyoni mwao mpaka nyoyo zao hizo zikatike vipande vipande. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua Mwenye hikima.***
9_111.GIF
111. Hakika Mwenyezi Mungu amenunua kwa Waumini nafsi zao na mali zao kwa kuwa wao watapata Pepo. Wanapigana katika Njia ya Mwenyezi Mungu - wanauwa na wanauwawa. Hii ni ahadi aliyo jilazimisha kwa Haki katika Taurati na Injili na Qur'ani. Na nani atimizae ahadi kuliko Mwenyezi Mungu? Basi furahini kwa biashara yenu mliyo fanya naye. Na huko ndiko kufuzu kukubwa,***
9_112.GIF
112. (Kwa) wanao tubia, wanao abudu, wanao himidi, wanao kimbilia kheri, wanao rukuu, wanao sujudu, wanao amrisha mema na wanao kataza maovu, na wanao linda mipaka ya Mwenyezi Mungu. Na wabashirie Waumini.***
9_113.GIF
113. Haimpasii Nabii na wale walio amini kuwatakia msamaha washirikina, ijapo kuwa ni jamaa zao, baada ya kwisha bainika kuwa hao ni watu wa Motoni.***

Hakuna chochote hapo kuhusiana na Sept 11 terror attack, yule mwenzio kasema kuwa kwenye quran ya rafiki yake kumeainishwa kuanzia ndege(aircraft)ya chuma itagonga majengo marefu na kuyateketeza kabisa tarehe,mwezi Sept 11!! Hii quran yako labda ni tofauti na ile ya rafiki.
 
Al-qaeda walikiri kuhusika na shambulio hilo!! Osama hakuishia tu kukiri,ila pia alionyesha kufurahishwa na jinsi mpango wenyewe ulivyoenda vizuri!! Osama ameonekana kwenye video tapes kadhaa akipeleka ujumbe kwa marekani kuwakumbusha kuwa the war is not over yet,tokea shambulio hilo la sept 11 kumetokea mashambulio mengine madogo kadhaa,pamoja na majaribio kadhaa ya ugaidi,na hata pale mission ilipo fail bado al qaeda hawakusita kujitokeza na kuyakiri yale waliyoya suka wao, kuhusu hilo la sept 11 labda mungeniambia kuwa marekani ndiyo iliyowatuma al qaeda na osama kutekeleza uhalifu huo!! Otherwise the string of conspiracies will cover the truth sussesfully.

Unaweza kutuwekea ushahidi kwa uyaandikayo?

Mimi nakuwekea ushahidi usio na shaka kuwa Osama alikataa kuwa alihusika na Sept. 11, huu hapa:

Interview with Osama bin Laden. Denies his Involvement in 9/11

We bring to the attention of our readers the following text of Osama bin Laden's interview with Ummat, a Pakistani daily, published in Karachi on September 28, 2001. It was translated into English by the BBC World Monitoring Service and made public on September 29, 2001.

Following is the interview in full detail:
Ummat: You have been accused of involvement in the attacks in New York and Washington. What do you want to say about this? If you are not involved, who might be?

Usamah [Osama bin Laden]: In the name of Allah, the most beneficent, the most merciful. Praise be to Allah, Who is the creator of the whole universe and Who made the earth as an abode for peace, for the whole mankind. Allah is the Sustainer, who sent Prophet Muhammad for our guidance. I am thankful to the Ummat Group of Publications, which gave me the opportunity to convey my viewpoint to the people, particularly the valiant and Momin true Muslim people of Pakistan who refused to believe in lie of the demon.

I have already said that I am not involved in the 11 September attacks in the United States. As a Muslim, I try my best to avoid telling a lie. I had no knowledge of these attacks, nor do I consider the killing of innocent women, children, and other humans as an appreciable act. Islam strictly forbids causing harm to innocent women, children, and other people.

Soma zaidi: Interview with Osama bin Laden. Denies his Involvement in 9/11 | Global Research

Ukishaupitia, sasa wewe tuwekee wako kama unavyosema "Osama hakuishia tu kukiri...".

Nnakuhakikishia huwezi na unafurahisha barza tu.
 
Back
Top Bottom