crabat
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 4,323
- 2,207
Kaazi kweli kweli...lakini nchi nyingi ulizo zitaja hapo ni matokeo ya ile Arab spring ambayo wananchi wenyewe waliamua kulianzisha...na ilikua inatokea baada ya kuona nchi moja imefanikiwa kung'oa utawala madarakani...hii nayo imekaaje? Marekani kahusika?
ukiangalia kwa juu juu utadhani ni matokeo ya vurugu na hio arab spring lakini ukweli Ghadafi na libya kama sio wao wasingeondoka...ni nchi moja tu ambayo vurugu zilikua za wana nchi lakini nazo hazikuzaa matunda au malengo ya kuwa na democracia hayakupatikana kutoka na jeshi kla nchi hizo kuingilia.....
Tunisia jeshi ambalo lina vibaraka wa CIA limeshika hatamu
Misri pia
Syria ni vurugu kutoka kwa wahhuni wanaolipwa na CIA
NADHANI UNGEREJEA HISTORIA YA KUMWEKA SHAH WA IRAN ...ambaye aliondoshwa kwa mpainduzi ya wa iran na baadae akarejeshwa tena na marekani kwa kushirikiana na CIA. hawa jamaa wana watu wao ndani ya nchi zote...wakiambiwa fanya fujo wanafanya kwani wapo na mishahara minono....so hali ndo hiyo