Believe it or Believe it not: September 11, 2011 Twin tower were hit by Military Plane

Believe it or Believe it not. SEPTEMBER 11, 2011 TWIN TOWERS Were hit by Military Plane.

Not

That was a Typing error, and i have been trying to correct it without success ever since. My apology, what i meant was September 11, 2001.
 
Wewe unachoongea hukielewi hebu soma na utizame wanayofanya ndugu zako... Allah Si Mungu huwezi change kitu... na mimi Sijasema Yesu ni Mungu .... naona unatoa mapovu tu
Saudi Arabia: Shocking Video Highlights Abuse of Migrant Workers

Footage of violent attack against migrant worker by his employer goes viral, offering a disturbing insight into abuse faced by many.
AAFont Size
By Ari Soffer First Publish: 10/31/2013, 2:31 PM

453075.jpg
Abuse of foreign worker in Saudi Arabia
Screenshot: YouTube

A video apparently showing the brutal beating of a migrant worker in Saudi Arabia has gone viral, and once again shone a spotlight on the issue of human rights violations in the gulf kingdom.
The victim - who the publisher of the video claims is an Indian national - can be seen pleading for his life as his Arab employer accuses him of looking at his wife. Despite his repeated denials, the victim is then subjected to a horrific and sustained beating. His employer then chillingly asks him "do you want to die?" immediately before the camera stops recording.
It is a disturbing illustration of a phenomenon that rights groups say is all too common in Saudi Arabia and other Arab states in the Middle East. Migrant workers have few, if any rights and no means of representation, leaving them entirely at the mercy of their employers. They are even required to surrender their passports upon arrival, leaving them trapped and helpless, often under conditions akin to slavery.
According to a CNN report, the Saudi government-sponsored "Human Rights Commission" has said it has launched an official investigation into the incident, and that it is attempting to locate the victim to offer help. The group has also called on his attacker to be arrested and tried.
But even if justice is served in this case, there will be plenty of skepticism over the Saudi government's commitment to human rights - and particularly minority rights - in general.
A recent report by Amnesty International slammed the worsening state of human rights abuses in the country. Among the myriad criticisms levelled in the report, it was noted that migrant workers and other minorities regularly suffer abuse and "excessive use of force" at the hands of authorities.
The video includes violent scenes. Viewer discretion is advise

I Condemn this inhuman Behavior perpetrated by any one in the Name of anything. As a true Muslim I CURSE any one who will attribute this behavior and any other like this with Islam. Whatever a Muslim does, or rather an Arab does, it doesn't necessarily mean that he or she represent Islam as a Religion. Unless, you who think that way, your thoughts are driven by Hatred towards Islam and Your Ignorance of the Islam.

You must know people, ISLAM, MUSLIMS AND ARABS ARE THREE DIFFERENT THINGS.
 
Last edited by a moderator:
Wewe unachoongea hukielewi hebu soma na utizame wanayofanya ndugu zako... Allah Si Mungu huwezi change kitu... na mimi Sijasema Yesu ni Mungu .... naona unatoa mapovu tu
Saudi Arabia: Shocking Video Highlights Abuse of Migrant Workers

Footage of violent attack against migrant worker by his employer goes viral, offering a disturbing insight into abuse faced by many.
AAFont Size
By Ari Soffer First Publish: 10/31/2013, 2:31 PM

453075.jpg
Abuse of foreign worker in Saudi Arabia
Screenshot: YouTube

A video apparently showing the brutal beating of a migrant worker in Saudi Arabia has gone viral, and once again shone a spotlight on the issue of human rights violations in the gulf kingdom.
The victim - who the publisher of the video claims is an Indian national - can be seen pleading for his life as his Arab employer accuses him of looking at his wife. Despite his repeated denials, the victim is then subjected to a horrific and sustained beating. His employer then chillingly asks him "do you want to die?" immediately before the camera stops recording.
It is a disturbing illustration of a phenomenon that rights groups say is all too common in Saudi Arabia and other Arab states in the Middle East. Migrant workers have few, if any rights and no means of representation, leaving them entirely at the mercy of their employers. They are even required to surrender their passports upon arrival, leaving them trapped and helpless, often under conditions akin to slavery.
According to a CNN report, the Saudi government-sponsored "Human Rights Commission" has said it has launched an official investigation into the incident, and that it is attempting to locate the victim to offer help. The group has also called on his attacker to be arrested and tried.
But even if justice is served in this case, there will be plenty of skepticism over the Saudi government's commitment to human rights - and particularly minority rights - in general.
A recent report by Amnesty International slammed the worsening state of human rights abuses in the country. Among the myriad criticisms levelled in the report, it was noted that migrant workers and other minorities regularly suffer abuse and "excessive use of force" at the hands of authorities.
The video includes violent scenes. Viewer discretion is advise
Mmmh Kweli imekugonga kichwani Comment zangu zimekusuta na kukukashifu. Hauna usemi ..Umebaki kurusha unnecessary points,cases !! ambayo MaTaifa yote hutenda violence!! Mwanafunzi wa chekechea hamumdanganyi... Leo le o Usilimu... acha utorooo!! The big Islamic doors are open for You. Yaa ALLAH muhidi na muongoze Mlaleo,Wenzake kwenye haki.AMIN
 
Comment gani zako zenye mashiko? wewe si ndie ulikuwa unasema watu wasiache kuchangamkia kazi za uyaya huko Saudia.... Huyo Allah wenu yupo hai huko Mecca? maana haoni maasi ya nchi muiitayo Takatifu Saudia Arabia...
 
Allah nae mbona alikuwa anaishi Mecca na alikili kuwa yeye si Mungu na anamuabudu Mungu wa Mbinguni.... Sisi Tumjuae Mungu yule wa Abraham Mungu wa Isaka na Mungu wa Yakobo Yesu alisema yeye ni Mwana wa Mungu kama ilivyotafsiliwa na Binadamu lakini kama Ukisoma Biblia kwa Lugha ya Kiebrania utaelewa alikuwa anamaanisha nini... Yesu kabla ya kukata Roho alimuomba Mungu aipokee roho yake... Huo uzushi uliouandika ni jambo rahisi sana kuandikika....

Hata miaka ya Nyuma tuliambiwa Mtume wenu alizikwa ardhini juu juu nguluwe wakaja wakaufukua mwili ndio maana hamli nyama yake hadi leo.. na mbwa wakaja wakaitafuna mikono yake mkawakataza watu wasifuge mbwa... ni mambo ya utotoni sasa na wewe ongea kama ushakuwa mkubwa

"Hata miaka ya nyuma tuliambiwa", inamaana ile dhana ya akili za kuambiwa changanya na zako huna?
 
Yah tuliambiwa tulipokuwa wadogo kisa cha waislam kuwakataa Mbwa na Nguluwe.... ukiwa mdogo unakuwa huna uwezo wa kuchanganya na zako... Hoja yako haina mashiko....mkuu mbaya kama mtu mzima akiwa anasema kuwa ameambiwa ndipo achanganye na zake
 
Comment gani zako zenye mashiko? wewe si ndie ulikuwa unasema watu wasiache kuchangamkia kazi za uyaya huko Saudia.... Huyo Allah wenu yupo hai huko Mecca? maana haoni maasi ya nchi muiitayo Takatifu Saudia Arabia...
Kaka Mlaleo/Sister Mlaleo Umzima wa afya; Nimekufikiria sana na nimekutakia heri Mkuu kwani scope yako ni finyu mno !! hayo haijalishi wewe kutokuwa na utashi wa maisha yanayojirii ulimwenguni !! Hivyo nimekuombea kwa Mwenyenzi Mungu akuongoze na kukupa mwanga mbele katika maisha yako.!! Mlaleo, nisemayo ni kweli nakutakia mema na uongofu ninakupendelea nikuunganishe na ndugu zako waislam upate maisha mapya na hadhi sawia. Juhudi zako zitathaminika zaidi kumjua Mwenyeezzi Mungu Mtukufu na Uadhama wake na Ukubwa wake utaona Miujiza mingi yenye kukupa raha katika ibadaa na kukuondolea dhiki na shida zako. Fursa hii usiache ipotee kesho utanikumbuka kwa mazuri niliyokutakia. Karibu tena katika dini hii ya haki na msamaha kwa yote uliyoyapitia awali, Mwenyeezi Mungu atakufungulia milango mingi ya heri na Baraka ya kutenda mema hapa duniani ili ushinde siku ya hesabu. Okay mkuu mie sintachoka kukukaribisha katika Uisilam,Wala sintoficha uzuri au hazina za Islam.
 
Kilichokufanya uniite Sister... umeona nafanana na wewe au? ndio unataka kunikaribisha kitandani kwako... pole pole mimi ni Shababy na nishaposa waarabu waili wamenitosa wazazi wao hawataki niwaoe... so kama wewe hujaolewa nipo radhi nije kukuposa... haya ya kale tutayasahau... Mimi Nishafahamu Mengi kuhusu Dini... na vyanzo vyake.... Mnachokosea Nyinyi ni kumuita Allah Mungu wakati yeye amesema yupo Mungu.... Irani zenu ni Nzuri za Dini kuswali mara tano kuzika kutoa zakha upole upendo amani n.k vingi vizuri lakini hamuwezi kuvifuata.... na vimekuwa machungu na mwaonekana vibaya sana... kushawishi mtu ajiunge ni Ngumu Kumesa.....
 
Usije kusema nimekudanganya...Samahani Mkuu mie nimeolewa. Ndiyo ni wajib wangu kukaribisha kwenye imani ya dini ya haki kama ulivyogundua mwenyewe....!! Ofcoz baadhi waiislamu hutenda maasi Lakini wengi wapo katika mstari ulonyoka na kutimiza maamrisho ya Allah al-Adhim. Mkuu usifikiri nitakutosa ovyo, Wewe kamilisha azma yako na timiza wajibu wa msutakabali wa ndoa yako...Ninaamini siku ntakutafuta ukiwe well married man ukiwa na young familyako, Nikiwakaribisha tena katika Dini hii adhimu yenye kusamehe ya zamani n kukuzalisha upya. Nina hakika utajifunza zaidi na mengi mazuri. Mlaleo wakati mwafaka ndiyo huu Uislam unakukaribia kwa hatua zote usipoteze opportunity hii "maisha mafupi" Anyway jitihada zangu umeziona na ndugu zako katika masjid wana kungoja kwa hamu. WaBillah aTawfiq.AMIN
 
Kama umeolewa huwezi cheat ? kitu kitakachonifanya pengine niingie kwenye uislam ni mke tu na si kingine... tena huyo mke awe mwarabu kama alivyofanya Robin van Parsie wa Manchester United... na kwa kuwa kuingia kwenye uislam huchanji na ukitaka kutoka ni rahisi, kusali mara tano kwa Siku wapi na wapi na mimi mimi nasali kama maagizo ya Mussa Jumamosi tu Shabath... na siku zingine natenda mambo mazuri tu... ila namkumbuka Mungu Wangu kila siku....Mungu wa Abraham, Mungu wa Isaka na Mungu wa Yakobo na wewe Njoo kwetu nakukaribisha... Na ili ufahamu kuwa Yesu anakupenda
 
Swahiba Mlaleo kwema huko, Japo unachukuwa mda wangu mwingi..lkn sikitu jitihada zangu hazishindi kudra za moula-karimu-Muumba wa kila kitu... Naheshimu imani zako pia nakunyoshea mkono tena upate kuungana na ndugu zako waumini haswa ili mchango wako mwema utukuke katika dini yetu hii ya haki. Naam ya haki nawe uwe mmoja wakuitetea kwa kuwa upeo wako ni mzuri.. kulikoni kupoteza nguvu zako.. hatimaye utoke patupu kwenye tawi kavu uloegemea !!
Kaka yangu Mapenzi ya Nabii Issa (yasu3) yesu nani hayaenzi/tunayakubali sisi Wote tunayafahamu, Na MWENYENZI MUNGU wa Ibrahim na mitume wote sote tunaAmini. By-the-way Mimi nina uarabu/uyahudi/uafricash/unasara haunipigichenga Mungu kanijaalia lugha zao kwangu ni kikombe cha maji tuu!! nasi wote ni watoto wa miezi tisa (9month born) Hivyo ninathibitisha AYAA hii " Hakuna tofauti baina ya muArabian au muAjemi isipokuwa Mmchaa Mungu " ... Sadakta yaa Rabi Al-alameen. kwa mara ingine tena tafadhali karibia mlango wa kheri na nyumba ya msamaha uabuduu vilivyo. ukubaliwe AMIN.
Most welcom again.
 
Nitafutie Binti wa Kiarabu kwanza nimuoe... kama wewe ushaolewa.... Dini ni kama Nguo unaweza ivaa au kuivua... Imani ndio inamata... haya Mafundisho ya Dini yametokea Middle east na inadaiwa Abraham ndio Baba wa Wote... nikuambie kitu Uyahudi unatokea kwa Mama mzazi kama baba akiwa Myahudi akazaa na Jamii nyingine basi hyo mtoto haesabiwi kama ni Myahudi tofauti na Jamii zingine zinafuata kwa Baba
 
ear witnesses tena, inakuwaje hapo!
Probably you r just a conspiracy theorist. Wamejaa kibao huko youtube.

Yeah! EAR witnesses HEARD second huge explosions EYE witnesses SAW huge SMOKE bellowing from collapsed building -see the diff?
 
Kama kuna jambo ambapo ukweli inaonekana basi huyo snow atasema,tusubiri
 
Back
Top Bottom