Believe it or Believe it not: September 11, 2011 Twin tower were hit by Military Plane

Probably those Planes carried huge bombs as you can see on their bottom. And that could explain why all those two buildings collapsed to the ground. Ear witnesses said, they heard second huge explosions.
Hiyo ni Ndege ya nchi gani, mzimu ukiniletea ndege ya namna hiyo ikiwa na makombora chini yake yameji position namna hiyo, nita BELIEVE IT... ?:spy::spy::spy:
 
LETA USHAHIDI KAMA ALIKUWA HAJUI KUSOMA WALA KUANDIKA
Em Google na wewe, hapa sio.mahakamani. au leta ushahidi wa kupinga, ueleze muhmad alisomea wapi hata
Mh. mbatia alitamka pale jangwani akasema ikra...
 
na huyo aliyeshushiwa Quran amekufa akiwa hajui kusoma wala kuandika!
USISHANGAE!! KWA MAANA HATA HIYO BIBLIA ILISHA MTABIRI HUYO UNAYESEMA HAPO KUWA HAKUWA NA ELIMU YA KUSOMA WALA KUANDIKA, MA MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI AKAMJAALIA AKAMPA HICHO KITABU CHENYE MAARIFA MENGI AMBAYO HATA WANA SAYANSI WENYE AKILI WAMEKILI HILO!!

KTK BIBLIA ISAYA 29:11-12 INASEMA HIVI

" NA MANENO YOTE YAMEKUWA KWENU KAMA MANENO YA CHUO KILICHO TIWA MUHURI AMBACHO WATU HUMPA ALIYE NA MAARIFA WAKISEMA TAFADHARI UKISOME HIKI, AKASEMA SIWEZI KWA KUWA KIMETIWA MUHURI

12)KISHA CHUO HIKI APEWE MTU ASIYE NA MAARIFA AKAAMBIWA KISOME HICHO TAFADHARI, AKASEMA SINA MAARIFA MIMI

UNADHANI NI MTU GANI HUYO AMBAYE BIBLE ILIMTABIRI KUWA ATAPEWA CHUO AKISOME NAYE ATAJIBU KUWA HAWEZI KUSOMA???

TUKIRUD KATIKA HISTORY TUNAAMBIWA KUWA WAKATI MTUME MUHAMMAD ALIPOKUWA NA MIAKA 40, SIKU MOJA AKIWA PANGONI HUKO MJI WA MAKKA, MALAIKA GABRIEL ALIMTOKEA NA KUMPA AMRI "IQRA" KWA MAANA YA 'SOMA' LAKINI MUHAMMADI AKAMJIBU "MA ANA BEQARA" YAANI "I AM NOT LEARNED"

MALAIKA GABRIEL AKARUDIA TENA KUMCOMAND KWA MARA YA PILI JIBU LIKAWA LILE LILE .

NDIPO KWA MARA YA TATU MALAIKA AKAENDELEA MOJA KWA MOJA KWA KUSEMA "SOMA KWA JINA LA MOLA WAKO ALIYE UMBA". NA MUHAMMADI AKAWA ANAMFATISHA KILA ALICHO KUWA AKISIKIA KUTOKA KWAKE.

KAMA BIBLIA PALE ILIPOSEMA KATIKA KUMBUKUMBU LA TORAT

18:18 ".....NAMI NITATIA MANENO YANGU KINYWANI MWAKE NAYE ATAWAAMBIA YOTE NITAKAYO MUAMURU.

HVYO MUHAMMAD KATIKA MIAKA ISHIRINI NA TATU YA UTUME WAKE MANENO YALIKUWA YAKIWEKWA KIMYWANI MWAKE KUPITIA MALAIKA JIBRIL, NAYE AKAWA AKIYAFIKISHA KWA WATU KAMA ALIVYO YASIKIA

MFANO: KUANZA KUANDIKWA KWA QURAN TUKUFU AMBAPO IKAWA INAHIFAZIWA KWENYE NGOZI ZA WANYAMA NA MAGOME NK PIA MASWAHABA WALIKUWA WAKIHIFADH KWENYE MIOYO YAO, NA KABLA YA KUFA KWAKE AKATOA MPANGILIO MZURI WA KUIHIFADHI QURAN NA HATIMAYE MPAKA HII LEO TUKO NAYO IKIWA HAIJA PUNGUZWA WALA KUONGEZWA NENO.

HUYO NDIYE MUHAMMAD AMBAYE PIA UKISOMA 18:18 KUMBU KUMBU UTAONA DIRECT INAMUHUSU KAMA HUJAELEWA ULIZA NTAKUFAFANULIA
 
Probably those Planes carried huge bombs as you can see on their bottom. And that could explain why all those two buildings collapsed to the ground. Ear witnesses said, they heard second huge explosions.
First of all... there is no fighter jet. Fighter jet zina umbo dogo na sikubwa kiasi hiko. Ndege kubwa za kijeshi.. kama hiyo iliyoonyeshwa kwenye video...
Inayo take off.. ina fuel boom, hiyo ni tanker airplane. Inatumika kujaza mafuta ndege zingine zikiwa angani. Lakin second plane inayogonga jengo... haina fuel boom.

Maybe kuna ilionekana gray plane.. but according to hii video. The plane haijabeba bomu lolote. From side winders.. chaf flares.. or AAR missiles.
Its was fuel carrier plane iligonga jengo.. na explosion imesababishwa na impact na aviation fuel za ndege husika.
 
USISHANGAE!! KWA MAANA HATA HIYO BIBLIA ILISHA MTABIRI HUYO UNAYESEMA HAPO KUWA HAKUWA NA ELIMU YA KUSOMA WALA KUANDIKA, MA MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI AKAMJAALIA AKAMPA HICHO KITABU CHENYE MAARIFA MENGI AMBAYO HATA WANA SAYANSI WENYE AKILI WAMEKILI HILO!!

KTK BIBLIA ISAYA 29:11-12 INASEMA HIVI

" NA MANENO YOTE YAMEKUWA KWENU KAMA MANENO YA CHUO KILICHO TIWA MUHURI AMBACHO WATU HUMPA ALIYE NA MAARIFA WAKISEMA TAFADHARI UKISOME HIKI, AKASEMA SIWEZI KWA KUWA KIMETIWA MUHURI

12)KISHA CHUO HIKI APEWE MTU ASIYE NA MAARIFA AKAAMBIWA KISOME HICHO TAFADHARI, AKASEMA SINA MAARIFA MIMI

UNADHANI NI MTU GANI HUYO AMBAYE BIBLE ILIMTABIRI KUWA ATAPEWA CHUO AKISOME NAYE ATAJIBU KUWA HAWEZI KUSOMA???

TUKIRUD KATIKA HISTORY TUNAAMBIWA KUWA WAKATI MTUME MUHAMMAD ALIPOKUWA NA MIAKA 40, SIKU MOJA AKIWA PANGONI HUKO MJI WA MAKKA, MALAIKA GABRIEL ALIMTOKEA NA KUMPA AMRI "IQRA" KWA MAANA YA 'SOMA' LAKINI MUHAMMADI AKAMJIBU "MA ANA BEQARA" YAANI "I AM NOT LEARNED"

MALAIKA GABRIEL AKARUDIA TENA KUMCOMAND KWA MARA YA PILI JIBU LIKAWA LILE LILE .

NDIPO KWA MARA YA TATU MALAIKA AKAENDELEA MOJA KWA MOJA KWA KUSEMA "SOMA KWA JINA LA MOLA WAKO ALIYE UMBA". NA MUHAMMADI AKAWA ANAMFATISHA KILA ALICHO KUWA AKISIKIA KUTOKA KWAKE.

KAMA BIBLIA PALE ILIPOSEMA KATIKA KUMBUKUMBU LA TORAT

18:18 ".....NAMI NITATIA MANENO YANGU KINYWANI MWAKE NAYE ATAWAAMBIA YOTE NITAKAYO MUAMURU.

HVYO MUHAMMAD KATIKA MIAKA ISHIRINI NA TATU YA UTUME WAKE MANENO YALIKUWA YAKIWEKWA KIMYWANI MWAKE KUPITIA MALAIKA JIBRIL, NAYE AKAWA AKIYAFIKISHA KWA WATU KAMA ALIVYO YASIKIA

MFANO: KUANZA KUANDIKWA KWA QURAN TUKUFU AMBAPO IKAWA INAHIFAZIWA KWENYE NGOZI ZA WANYAMA NA MAGOME NK PIA MASWAHABA WALIKUWA WAKIHIFADH KWENYE MIOYO YAO, NA KABLA YA KUFA KWAKE AKATOA MPANGILIO MZURI WA KUIHIFADHI QURAN NA HATIMAYE MPAKA HII LEO TUKO NAYO IKIWA HAIJA PUNGUZWA WALA KUONGEZWA NENO.

HUYO NDIYE MUHAMMAD AMBAYE PIA UKISOMA 18:18 KUMBU KUMBU UTAONA DIRECT INAMUHUSU KAMA HUJAELEWA ULIZA NTAKUFAFANULIA
Biblia inamtambua muhammad kama kafir [emoji117] Yuda 1:3-4, mlaaniwa [emoji117] Gal 1:6-9 mpinga Kristo [emoji117] 1 Jn 1:22 mtu wa motoni [emoji117] Uf 14:9-12 sawa [emoji47] [emoji53]
 
I Condemn this inhuman Behavior perpetrated by any one in the Name of anything. As a true Muslim I CURSE any one who will attribute this behavior and any other like this with Islam. Whatever a Muslim does, or rather an Arab does, it doesn't necessarily mean that he or she represent Islam as a Religion. Unless, you who think that way, your thoughts are driven by Hatred towards Islam and Your Ignorance of the Islam.

You must know people, ISLAM, MUSLIMS AND ARABS ARE THREE DIFFERENT THINGS.
Whatever is done by a Muslim is Islamic, and that is according to Islamic teachings. I know we will have a long debate over this contention, but the fact remains there that as a Muslim even if you want to enter in your house you have a directive on how to from the quran, same applies when you go to toilet and many other actions, so you thinking and performances emanates from your teachings.
 
Al-qaeda walikiri kuhusika na shambulio hilo!! Osama hakuishia tu kukiri,ila pia alionyesha kufurahishwa na jinsi mpango wenyewe ulivyoenda vizuri!! Osama ameonekana kwenye video tapes kadhaa akipeleka ujumbe kwa marekani kuwakumbusha kuwa the war is not over yet,tokea shambulio hilo la sept 11 kumetokea mashambulio mengine madogo kadhaa,pamoja na majaribio kadhaa ya ugaidi,na hata pale mission ilipo fail bado al qaeda hawakusita kujitokeza na kuyakiri yale waliyoya suka wao, kuhusu hilo la sept 11 labda mungeniambia kuwa marekani ndiyo iliyowatuma al qaeda na osama kutekeleza uhalifu huo!! Otherwise the string of conspiracies will cover the truth sussesfully.
osqma ni sehemu ya plan mkuu....
ndio maana before alishakuwa agent wa cia aliyefundishwa....
 
ukweli ni kua bin laden mwanzo alikanusha kuhusika sasa haileweki ilikuaje tena akawa kama vile anaunga mkono,lakini kuunga mkono haina maana kuwa alihusika ndo maana hata FBI waliwahi kusema hawakuwa na evidence za kumuunganisha laden na shambulio hilo.

Ramzi yousef ndo alikua masterminder na kabla ya hapo alikua ameshajaribu kulipua hilo jengo miaka ya 90.
Siku mbili kabla ya 9/11 laden alikua kalazwa hospital huko pakistan so hangeweza kuwa alikua anaorganise shambulio.
kuna mtu alikuwa anaitwa moh'd atta raia wa misri ambae elimu yake ya juu alisomea nchini ujerumani jiji la humburg na ndipo harakati zilianzia huko..."humburg cell"....
 
DSC_0274_3450e.JPG

Hili tukio linanikumbusha OKLOHOMA BOMBING, With TIMOTHY MACVEIGH.
hata hii kaka ilikuwa ni injob plan...maana ukisoma kisa cha oklahoma bomb... ktk uchunguzi zilikutwa baruti za kuwekwa...na muda mfupi kabla ya tukio magari ya fire ya kutosha yalikuwa around....na shule ya kindegate ilifungwa waki moja kabla ya tukio.....
 
na huyo aliyeshushiwa Quran amekufa akiwa hajui kusoma wala kuandika!
USISHANGAE!! KWA MAANA HATA HIYO BIBLIA ILISHA MTABIRI HUYO UNAYESEMA HAPO KUWA HAKUWA NA ELIMU YA KUSOMA WALA KUANDIKA, MA MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI AKAMJAALIA AKAMPA HICHO KITABU CHENYE MAARIFA MENGI AMBAYO HATA WANA SAYANSI WENYE AKILI WAMEKILI HILO!!

KTK BIBLIA ISAYA 29:11-12 INASEMA HIVI

" NA MANENO YOTE YAMEKUWA KWENU KAMA MANENO YA CHUO KILICHO TIWA MUHURI AMBACHO WATU HUMPA ALIYE NA MAARIFA WAKISEMA TAFADHARI UKISOME HIKI, AKASEMA SIWEZI KWA KUWA KIMETIWA MUHURI

12)KISHA CHUO HIKI APEWE MTU ASIYE NA MAARIFA AKAAMBIWA KISOME HICHO TAFADHARI, AKASEMA SINA MAARIFA MIMI

UNADHANI NI MTU GANI HUYO AMBAYE BIBLE ILIMTABIRI KUWA ATAPEWA CHUO AKISOME NAYE ATAJIBU KUWA HAWEZI KUSOMA???

TUKIRUD KATIKA HISTORY TUNAAMBIWA KUWA WAKATI MTUME MUHAMMAD ALIPOKUWA NA MIAKA 40, SIKU MOJA AKIWA PANGONI HUKO MJI WA MAKKA, MALAIKA GABRIEL ALIMTOKEA NA KUMPA AMRI "IQRA" KWA MAANA YA 'SOMA' LAKINI MUHAMMADI AKAMJIBU "MA ANA BEQARA" YAANI "I AM NOT LEARNED"

MALAIKA GABRIEL AKARUDIA TENA KUMCOMAND KWA MARA YA PILI JIBU LIKAWA LILE LILE .

NDIPO KWA MARA YA TATU MALAIKA AKAENDELEA MOJA KWA MOJA KWA KUSEMA "SOMA KWA JINA LA MOLA WAKO ALIYE UMBA". NA MUHAMMADI AKAWA ANAMFATISHA KILA ALICHO KUWA AKISIKIA KUTOKA KWAKE.

KAMA BIBLIA PALE ILIPOSEMA KATIKA KUMBUKUMBU LA TORAT

18:18 ".....NAMI NITATIA MANENO YANGU KINYWANI MWAKE NAYE ATAWAAMBIA YOTE NITAKAYO MUAMURU.

HVYO MUHAMMAD KATIKA MIAKA ISHIRINI NA TATU YA UTUME WAKE MANENO YALIKUWA YAKIWEKWA KIMYWANI MWAKE KUPITIA MALAIKA JIBRIL, NAYE AKAWA AKIYAFIKISHA KWA WATU KAMA ALIVYO YASIKIA

MFANO: KUANZA KUANDIKWA KWA QURAN TUKUFU AMBAPO IKAWA INAHIFAZIWA KWENYE NGOZI ZA WANYAMA NA MAGOME NK PIA MASWAHABA WALIKUWA WAKIHIFADH KWENYE MIOYO YAO, NA KABLA YA KUFA KWAKE AKATOA MPANGILIO MZURI WA KUIHIFADHI QURAN NA HATIMAYE MPAKA HII LEO TUKO NAYO IKIWA HAIJA PUNGUZWA WALA KUONGEZWA NENO.

HUYO NDIYE MUHAMMAD AMBAYE PIA UKISOMA 18:18 KUMBU KUMBU UTAONA DIRECT INAMUHUSU KAMA HUJAELEWA ULIZA NTAKUFAFANULIA

Biblia inamtambua muhammad kama kafir [emoji117] Yuda 1:3-4, mlaaniwa [emoji117] Gal 1:6-9 mpinga Kristo [emoji117] 1 Jn 1:22 mtu wa motoni [emoji117] Uf 14:9-12 sawa [emoji47] [emoji53]
MBONA UNATOA NAMBA ZA AYA BILA MAELEZO NDUGU?

LETE MAELEZO ILI UELEWEKE VIZUR, UKISOMA KUMBU KUMBU
18:18 NABII MUSA AAMBIWA,
"MIMI NITAWAINULIA NABII MIONGONI MWA NDUGU ZAO MFANO WAKO WEWE, NAMI NITATIA MANENO YANGU KINYWANI MWAKE,NAYE ATAWAAMBIA YOTE NITAKAYO MUAMURU"

SASA HAPA TUJIULIZE, NI NABII GANI HUYO ALIYE TABIRIWA KUJA NA ATAKUWA ANAFANANA NA MUSA (MOSES)??

JE, NI YESU? NI EZEKIEL? NI DANIEL? HOSEA? JOEL? MALACH? JOHN? AU MUHAMMAD!??

KAMA NI YESU MBONA KUNA HIZI TAFAUT??

1)KUTOKANA NA MAFUNDISHO YA KIKRISTO, YESU ANATAMBULIKA KAMA NI MUNGU WAKATI MUSA HAKUWA MUNGU!! JE NI KWELI?

2)YESU ALIUAWA ILI KUIKOMBOA DHAMBI YA ULIMWENGU WAKATI MUSA HAKUFA KWA SABABU YA KUUKOMBOA ULIMWENGU KTK DHAMBI. JE NI KWELI?

3)JESUS ALIKUFA NA KUFUFUKA SIKU YA TATU WAKATI MUSA HAKUFANYA HVYO!! JE NI JWELI?

KWAHYO MPAKA HAPO TUTAGUNDUA KUWA YESU NA MUSA HAWAFANANI

TUANGALIE KWA MUHAMMAD!! JE ANAFANANA NA MUSA?

1)MUSA ALIZALIWA NA WAZAZI WAWILI BABA NA MAMA NA MUHAMMAD NAYE HVYO HVYO LKN YESU ALIKUWA NA MAMA BILA BABA, JE NI KWELI?

2) MUSA NA MUHAMMAD WALI POKELEWA KAMA MANABII KWA WATU WAO
MAYAHUD WALIKILI KUWA MUSA NI NABII WAO, NA WAARABU NAO WALIKUJA KUKUBARI KUWA MIHAMMAD NI MTUME NA HATIMAYE ULI MWENGU MZIMA UMETAMBUA HILO,

LICHA YA KUWA WOTE KTK UTUME WAO WALIPITIA MISUKO SUKO TOKA KWA JAMII ZAO,

LKN UKISOMA JOHN 1:11 INASEMA "JE (JESUS) CAME UNTO HIS OWN BUT HIS OWN RECEIVED HIM NOT"

NA MPKA LEO BAADA YA MIAKA 2000 KUPITA BADO WATU WAKE AMBAO NI WAYAHUD HAWAMKUBARI!! JE NI KWELI?

3) NDOA: MUSA NA MUHAMMAD WALIOA NA KUZAA WATOTO LKN YESU ALIBAKI KUWA BACHELA MAISHA YAKE YOTE. JE NI KWELI??

5) UFALME: MUSA NA MUHAMMAD WALIKUWA NI MANABII NA PIA WAFALME LKN JESUS HAKUWA HVYO!

JOHN: 18:36 JESUS SAYS: "MY KINGDOM IS NOT OF THIS WORLD' IF MY KINGDON WERE OF THIS WORLD,THEY WOULD MY SERVANTS FIGHT, THAT, I SHOULDN'T BE DERIVERES TO THE JEWS, BUT NOW IS MY KINGDOM NOT FROM HENCE,"

PIA YOHANA 14:30 YESU ASEMA "MIMI SITASEMA NANYI MANENO MENGI TENA, KWA MAANA YUAJA MFALME WA ULIMWENGU HUU"

6) SHARIA: MOSES NA MUHAMMAD WALILETA SHERIA NA MUFUMO YA KUISHI KWA WATU WAO

MFANO AMRI 10 ZA MUSA KWA WAISRAEL. NA PIA MUHAMMAD ALIPOKUJA ALIKUTA WATU WANAISHI MAISHA YA KISHENZI NA UJINGA WA HALI YA JUU.

MFANO: WATU WALIKUWA WAKIOA MAMA ZAO WA KAMBO KWA KUWARITHI, PIA WATOTO WA KIKE WALIKUWA WAKIZIKWA HALIYAKUWA NI WAZIMA!!

HVYO MUHAMMAD AKAJA NA KUWAPA LAWS AND ORDERS THEY NEVER HAD BEFORE

ILA UKISOMA MATAYO 5:17-18 YESU ASEMA
"Msidhani ya KUWA nalikuja kutengua taurati au manabii, la, sikuja kutengua Bali kutimiliza"

7) VIFO: WOTE MUHAMMAD NA MUSA WALIKUFA VIFO VYA KAWAIDA LKN KWA MUJIBU WA WAKRISTU YESU ALIUAWA KWA MATESO MSARABANI. JE NI KWELI?

8) MAZIKO: MUSA NA MUHAMMAD WOTE WALIZIKWA ARDHINI, LKN KWA MUJIBU WA WAKRISTO JESUS IN HEAVEN! JE NI KWELI?

SO KUTOKANA NA HYO MIFANO YA ULINGANISHAJI HAPO JUU, JE NANI UNADHANI ANAFANANA MUSA (MOSES)??

NB: 18:19 kumbu kumbu
.......MTU ASIYE SIKILIZA MANENO YANGU ATAKAYO YASEMA YULE KWA JINA LANGU.....

SWALI! MUHAMMAD ALIKUWA AKIZUNGUZA KWA JINA LA NANI??

UKIFUNUA QUR'AN TUKUFU (MANENO YA MUNGU) SURA ZOTE HUANZIA NA

"BISMILLAH ARRAHMANI AREAHIIM"

MAANA YAKE NI

"KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHMA MWENYE KUREHEMU;"

KAMA MUHAMMAD ASINGEANZA KWA KUTAJA HILI JINA LA MWENYEZI MUNGU KAMA ILIVYO BASHIRIWA KTK HYO AYA YA 18:19 KUMBU KUMBU BASI HAPANA SHAKA HAPO KUNGEKUWA NA MASWALI MENGI YA KUJUULIZA!!

AMKA NDUGU YANGU!! MUHAMMAD IS IN YOUR BIBLE!!! DONT YOU KNOW?
 
Huo sio utabiri,kama angempinga asingemtaja Yesu vizuri katika Qur'an,na huwezi kuwa muislamu kamili bila kuamini mitume,miongoni mwao akiwa ni Yesu.Na ndani ya Qur'an kutajwa kwa Yesu na mamake kwa uzuri.Soma Qur'an,Surat Maryam.
Kama angekuwa anampinga Yesu,isingekuwa ndani ya uislamu Yesu,ni miongoni mwa mitume ya kiislamu.Soma,usiwe unasikiza maneno ya vijiweni.
Qur'an: Maryam:16
"Na mtaje Mariam(mamake Yesu) Kitabuni humu .Alipojitenga na jamaa zake,(akenda)mahali upande wa mashariki".
Sura hii nzima inasimuliwa kisa cha Maryam mpaka kuzaliwa kwa Yesu.
Hakuna mahali ndani ya Qur'an alikopingwa Yesu,kama sio miongoni mwa waliotumwa na Mungu.
Soma Qur'an,usikubali maneno ya kuambiwa vijiweni.
Nashangaa sana ukisema alimpinga kiristo(neno la kigiriki lenye maana ya mpakwa mafuta,kwa kiarabu lugha ya mashariki ya kati ni Masihi),katika Qur'an pia ameiitwa kwa Jina la Masihi.
Wayahudi ndio wanaompinga Yesu,mpaka leo hawamtambui ksma Yesu ni masihi,aliyetabiriwa kwenye Taurat(Torat)kama atakuja.Wao wanaamini mpaka leo Yesu siye sliyetajwa kwenye Taurat.Dini ya kiyahudi ya waisrael hawaamini uwepo wa Yesu.Uislamu unaamini uwepo wake.
Wayahudi ndio wapinga Kiristo(Masihi)hawakumkubali na wala hawatamkubali.Soma makala zinazouliza :"Why Jews rejects Jesus" .Hakuna makala kama hiyo katika uislamu.Neno Reject ni kupinga.
 
Peleka khutba yako huko msikitini ukazawadiwe takbir, humu watu hawakariri wanatafakari...ona ulivyo jaza mistari hata maudhui yake hujui [emoji15] [emoji13] nikikuuliza Mungu alisahau nini haswa hadi amtume muhammad mtoto wa abd allah atufumdishe...[emoji47] [emoji348] kama kukamuana ngama au kupulizwa mvutu masgidi na shetani...tuweke wazi..
 
Huo sio utabiri,kama angempinga asingemtaja Yesu vizuri katika Qur'an,na huwezi kuwa muislamu kamili bila kuamini mitume,miongoni mwao akiwa ni Yesu.Na ndani ya Qur'an kutajwa kwa Yesu na mamake kwa uzuri.Soma Qur'an,Surat Maryam.
Kama angekuwa anampinga Yesu,isingekuwa ndani ya uislamu Yesu,ni miongoni mwa mitume ya kiislamu.Soma,usiwe unasikiza maneno ya vijiweni.
Qur'an: Maryam:16
"Na mtaje Mariam(mamake Yesu) Kitabuni humu .Alipojitenga na jamaa zake,(akenda)mahali upande wa mashariki".
Sura hii nzima inasimuliwa kisa cha Maryam mpaka kuzaliwa kwa Yesu.
Hakuna mahali ndani ya Qur'an alikopingwa Yesu,kama sio miongoni mwa waliotumwa na Mungu.
Soma Qur'an,usikubali maneno ya kuambiwa vijiweni.
Nashangaa sana ukisema alimpinga kiristo(neno la kigiriki lenye maana ya mpakwa mafuta,kwa kiarabu lugha ya mashariki ya kati ni Masihi),katika Qur'an pia ameiitwa kwa Jina la Masihi.
Wayahudi ndio wanaompinga Yesu,mpaka leo hawamtambui ksma Yesu ni masihi,aliyetabiriwa kwenye Taurat(Torat)kama atakuja.Wao wanaamini mpaka leo Yesu siye sliyetajwa kwenye Taurat.Dini ya kiyahudi ya waisrael hawaamini uwepo wa Yesu.Uislamu unaamini uwepo wake.
Wayahudi ndio wapinga Kiristo(Masihi)hawakumkubali na wala hawatamkubali.Soma makala zinazouliza :"Why Jews rejects Jesus" .Hakuna makala kama hiyo katika uislamu.Neno Reject ni kupinga.
allah na muhammad wamemwambia Yesu ni kafir [emoji35] ref suratul tawba:30 au hiyo ndio kwa mujibu wa tafsiri ya uisilamu, ni uzuri huo [emoji15] [emoji47] [emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji12]
 
Biblia inamtambua muhammad kama kafir [emoji117] Yuda 1:3-4, mlaaniwa [emoji117] Gal 1:6-9 mpinga Kristo [emoji117] 1 Jn 1:22 mtu wa motoni [emoji117] Uf 14:9-12 sawa [emoji47] [emoji53]
Kumbuka hyo hyo bible inasema MTU atundikwaye msalabani BA's amelaaniwa!!

Nanyi mnadai YESU Ali tungikwa msalaban? Swali JE yesu Nate amelaaniwa? Nani kamlaani ikiwa naye NI MUNGU? Kajilaani? Jibu kiufasaha
 
Back
Top Bottom