Believe it or Believe it not: September 11, 2011 Twin tower were hit by Military Plane

Believe it or Believe it not: September 11, 2011 Twin tower were hit by Military Plane

Al-qaeda walikiri kuhusika na shambulio hilo!! Osama hakuishia tu kukiri,ila pia alionyesha kufurahishwa na jinsi mpango wenyewe ulivyoenda vizuri!! Osama ameonekana kwenye video tapes kadhaa akipeleka ujumbe kwa marekani kuwakumbusha kuwa the war is not over yet,tokea shambulio hilo la sept 11 kumetokea mashambulio mengine madogo kadhaa,pamoja na majaribio kadhaa ya ugaidi,na hata pale mission ilipo fail bado al qaeda hawakusita kujitokeza na kuyakiri yale waliyoya suka wao, kuhusu hilo la sept 11 labda mungeniambia kuwa marekani ndiyo iliyowatuma al qaeda na osama kutekeleza uhalifu huo!! Otherwise the string of conspiracies will cover the truth sussesfully.
ukweli ni kua bin laden mwanzo alikanusha kuhusika sasa haileweki ilikuaje tena akawa kama vile anaunga mkono,lakini kuunga mkono haina maana kuwa alihusika ndo maana hata FBI waliwahi kusema hawakuwa na evidence za kumuunganisha laden na shambulio hilo.

Ramzi yousef ndo alikua masterminder na kabla ya hapo alikua ameshajaribu kulipua hilo jengo miaka ya 90.
Siku mbili kabla ya 9/11 laden alikua kalazwa hospital huko pakistan so hangeweza kuwa alikua anaorganise shambulio.
 
wakuu iko aya katika Quran tukufu inayohusiana na sept 11 attack. labda tujaribu kuichambua.
1.Hii aya inapatikana katika sura ya tisa-Suratul Ahzab ( shambulio nalo lilitokea mwezi wa tisa yaani sept)
2. hii sura inapatikana katika Juzuu au Chapter ya 11. (shambulio nalo lilikuwa tarehe 11)
3. katika aya ya 110 katika sura hiindio kuna aya hiyo (kumbuka majengo yale yalikuwa na ghorofa 110.
4. aya hiyo inasema na mimi nanukuu "hayatodumu majengo yao ambayo wameyajenga kwa shaka ndani ya mioyo yao" (S.A)
NB: WHETHER NI COINCIDENCE AU ILITABIRI SHAMBULIO HILI MUNGU NDIE ANAEJUA.

Sasa huu mwezi wa tisa unaotajwa hapa ni kwa mujibu wa Gregorian Calendar au kwa mujibu wa Calendar ya Ki-Islam?
 
Sasa huu mwezi wa tisa unaotajwa hapa ni kwa mujibu wa Gregorian Calendar au kwa mujibu wa Calendar ya Ki-Islam?
nadhani hapa alikua anajaribu kulinganisha namba tu haihusiani na neno mwezi.afterall kalenda ya gregory haifuati mwezi bali nadhani jua.

Kalenda ya kiarabu ndio huendana na mwezi kama sikosei.
 
sept. 11 inamkanganyiko mwingi sana, inawezekana kabisa ni mchezo ulichezwa na wamarekani wenyewe..ila ukijiuliza wafanye hivyo wenyewe ili iweje ndo majibu hupati

reagan alisema mara baada ya kuanguka kwa kambi ya ukomunisti au mashariki iliyokua ikiongozwa na ussr -russia..kwamba adui wao marekani kufikia malengo yao ya kutawala dunia na kuwa mabwana wa dunia ni uislam.
Waliona uislam na waislam mara nyingi wamekua wakikataa kutawaliwa na kwa vile nchi nyingi hizi za kiislam wana utajiri sana wa mafuta hivyo lazima mbinua ipangwe ya kuumaliza uislam duniani.
Ndio mbinu mbali mbali zilipangwa kufikia lengi hihi...
Walijua ya kuwa raia wa marekani hawawezi ku support vita ya mavamizi bila ya sababu maalum...lazima ipatikane puplic opinion kubwa sana ili watu wa usa wasihoji hatua watazo chukua..ndio hili zengwe likapikwa...
Leo nchi zifuatazo za kiislam zinapata mkongoto
  • afghanstan
  • iraq
  • syria
  • libya
  • lebanon
  • yemen
  • pakistan
  • somalia
  • sudan
  • eygpt
  • nigeria
  • kenya mombasa
  • na any time iran na hata sisi tanzania tutaingizwa tu ....vipi tutaingizwa ni kama kenya walivo ingizwa somali ili ipatikane sababu ya kuwashambulia waislam kenya
hivyo hii ni vita ya marekani ....dhidi ya uislam na waislam na hapa sio ukristo dhidi ya uislam ..bali ni maslahi ya kibepari na uislam ambao unaonekana adui mkubwa wa kufikia malengo
na hawa jamaa hawana haraka ....kama iliwachukukua miaka 50 kupambana na ukomonisti na hii ni ongoing process...
Muhimu kwa viongozi wetu kutumia hekima na akili...sio kuwa katika kundi la aidha uwe na sisi au uwe na waislam
 
Sasa huu mwezi wa tisa unaotajwa hapa ni kwa mujibu wa Gregorian Calendar au kwa mujibu wa Calendar ya Ki-Islam?

mkuu hakujatajwa mwezi ila ni namba tu zimefanana yaani sura ya 9 juzuu ya 11 aya ya 110, na shambulio lilitokea mwezi wa 9 tarehe 11 na nyumba zilikua na ghorofa 110
 
Tukio hili kwa siku nyingi limekuwa ni Mradi wa kuwapatia watu pesa wengi wamekuwa wakijiuliza maswali mengi wanapokosa majibu huja nao kivyao na kutoa habari tofauti na kuziweka kwenye CD na wengine kutunga vitabu kuhusiana na hilo na kuanza kujipatia pesa,Mimi mwenyewe nimesikia watu wanasema ni Wamarekani wenyewe walijishambulia ili kuushambulia Uislamu na kuna vitabu na CD zinauzwa na wengi tulinunua lakini ukiona na kusikiliza na maneno ya KUSADIKIKA,lakini mimi ninachojua ni kuwa siku hiyo shambulio la kigaidi lilifanywa na watu wengi walipoteza Maisha yao bila hatia.
 
Unaweza kutuwekea ushahidi kwa uyaandikayo?

Mimi nakuwekea ushahidi usio na shaka kuwa Osama alikataa kuwa alihusika na Sept. 11, huu hapa:

Ukishaupitia, sasa wewe tuwekee wako kama unavyosema "Osama hakuishia tu kukiri...".

Nnakuhakikishia huwezi na unafurahisha barza tu.

aisee huyo OSAMA unaemzungumzia wewe si yule wa AL QAEDA, ili nikumini ni jibu haya:

Al qaeda iliundwa na nani kwa malengo yapi, wapi?

Vijana wa Al qaeda waliojitoa muhanga kwa kujilipua na kuua wanawake na watoto, walikuwa directed na OSAMA gani?

AL QAEDA inakuwa financed na nani? Mafunzo toka kwa nani?

AL SHABAAB na BOKO HALAM wanakiri kuwa na ushirika na AL QAEDA, sasa hao wote matendo yao yanafanana yakiwemo kuua innocent persons!

Kuna sehemu hapo eti anadai
wala hajui zile techniques nor knowledge of attacks, hivi mtu awe kiongozi wa kundi lenye silaha (jeshi) then asijue lolote kuhusu mbinu za attacks, hell Big NO!

Huyo uliyemnukuu akijiapiza hapo hawezi kuwa OSAMA BIN LADEN!
 
Pata jibu lako kutoka kwa walioiunda:

[video=youtube_share;Dqn0bm4E9yw]http://youtu.be/Dqn0bm4E9yw[/video]
 
wamarekani walikuwa wanatafuta sababu ya kwenda arabuni kuwapiga na kuiba mafuta na mali za waharabu...walimsingizia sadam hussein ana nyuklia ila mpaka wanamnyonga hawakutuonyesha hiyo nyuklia kama waliipata au laah..baada ya kuona gadaffi ni kikwazo kwao kwenye kulitawala bara la africa wakamuundia zengwe kaongoza miaka mingi ila malkia pale uingereza kama hawamuoni vile...mugabe hawataki kumpiga japo aliwatimua wazungu washaona pale hakuna maslahi kwao..naunga mkono hoja hayp majengo yalillipuliwa na wamarekani wenyewe
 
reagan alisema mara baada ya kuanguka kwa kambi ya ukomunisti au mashariki iliyokua ikiongozwa na ussr -russia..kwamba adui wao marekani kufikia malengo yao ya kutawala dunia na kuwa mabwana wa dunia ni uislam.
Waliona uislam na waislam mara nyingi wamekua wakikataa kutawaliwa na kwa vile nchi nyingi hizi za kiislam wana utajiri sana wa mafuta hivyo lazima mbinua ipangwe ya kuumaliza uislam duniani.
Ndio mbinu mbali mbali zilipangwa kufikia lengi hihi...
Walijua ya kuwa raia wa marekani hawawezi ku support vita ya mavamizi bila ya sababu maalum...lazima ipatikane puplic opinion kubwa sana ili watu wa usa wasihoji hatua watazo chukua..ndio hili zengwe likapikwa...
Leo nchi zifuatazo za kiislam zinapata mkongoto
  • afghanstan
  • iraq
  • syria
  • libya
  • lebanon
  • yemen
  • pakistan
  • somalia
  • sudan
  • eygpt
  • nigeria
  • kenya mombasa
  • na any time iran na hata sisi tanzania tutaingizwa tu ....vipi tutaingizwa ni kama kenya walivo ingizwa somali ili ipatikane sababu ya kuwashambulia waislam kenya
hivyo hii ni vita ya marekani ....dhidi ya uislam na waislam na hapa sio ukristo dhidi ya uislam ..bali ni maslahi ya kibepari na uislam ambao unaonekana adui mkubwa wa kufikia malengo
na hawa jamaa hawana haraka ....kama iliwachukukua miaka 50 kupambana na ukomonisti na hii ni ongoing process...
Muhimu kwa viongozi wetu kutumia hekima na akili...sio kuwa katika kundi la aidha uwe na sisi au uwe na waislam
Kaazi kweli kweli...lakini nchi nyingi ulizo zitaja hapo ni matokeo ya ile Arab spring ambayo wananchi wenyewe waliamua kulianzisha...na ilikua inatokea baada ya kuona nchi moja imefanikiwa kung'oa utawala madarakani...hii nayo imekaaje? Marekani kahusika?
 
wewe unadhani kwanini marekani waliunga mkono morsi wa muslim brotherhood?una habari kuwa marekani wamesitisha misaada egypt?.unadhani kwanini marekani anaunga mkono algaida huko syria?.
 
wewe unadhani kwanini marekani waliunga mkono morsi wa muslim brotherhood?una habari kuwa marekani wamesitisha misaada egypt?.unadhani kwanini marekani anaunga mkono algaida huko syria?.
Sifahamu, ila niliwahi ona article moja siku za nyuma sana inaongelea kwamba Muslim Brotherhood ndio watakao tumika katika nchi za kiislam kuimplement the so called New World Order... Unajua lolote juu ya hili mkuu unifahamishe?
 
Back
Top Bottom