Believe it or Believe it not: September 11, 2011 Twin tower were hit by Military Plane

Believe it or Believe it not: September 11, 2011 Twin tower were hit by Military Plane

USISHANGAE!! KWA MAANA HATA HIYO BIBLIA ILISHA MTABIRI HUYO UNAYESEMA HAPO KUWA HAKUWA NA ELIMU YA KUSOMA WALA KUANDIKA, MA MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI AKAMJAALIA AKAMPA HICHO KITABU CHENYE MAARIFA MENGI AMBAYO HATA WANA SAYANSI WENYE AKILI WAMEKILI HILO!!

KTK BIBLIA ISAYA 29:11-12 INASEMA HIVI

" NA MANENO YOTE YAMEKUWA KWENU KAMA MANENO YA CHUO KILICHO TIWA MUHURI AMBACHO WATU HUMPA ALIYE NA MAARIFA WAKISEMA TAFADHARI UKISOME HIKI, AKASEMA SIWEZI KWA KUWA KIMETIWA MUHURI

12)KISHA CHUO HIKI APEWE MTU ASIYE NA MAARIFA AKAAMBIWA KISOME HICHO TAFADHARI, AKASEMA SINA MAARIFA MIMI

UNADHANI NI MTU GANI HUYO AMBAYE BIBLE ILIMTABIRI KUWA ATAPEWA CHUO AKISOME NAYE ATAJIBU KUWA HAWEZI KUSOMA???

TUKIRUD KATIKA HISTORY TUNAAMBIWA KUWA WAKATI MTUME MUHAMMAD ALIPOKUWA NA MIAKA 40, SIKU MOJA AKIWA PANGONI HUKO MJI WA MAKKA, MALAIKA GABRIEL ALIMTOKEA NA KUMPA AMRI "IQRA" KWA MAANA YA 'SOMA' LAKINI MUHAMMADI AKAMJIBU "MA ANA BEQARA" YAANI "I AM NOT LEARNED"

MALAIKA GABRIEL AKARUDIA TENA KUMCOMAND KWA MARA YA PILI JIBU LIKAWA LILE LILE .

NDIPO KWA MARA YA TATU MALAIKA AKAENDELEA MOJA KWA MOJA KWA KUSEMA "SOMA KWA JINA LA MOLA WAKO ALIYE UMBA". NA MUHAMMADI AKAWA ANAMFATISHA KILA ALICHO KUWA AKISIKIA KUTOKA KWAKE.

KAMA BIBLIA PALE ILIPOSEMA KATIKA KUMBUKUMBU LA TORAT

18:18 ".....NAMI NITATIA MANENO YANGU KINYWANI MWAKE NAYE ATAWAAMBIA YOTE NITAKAYO MUAMURU.

HVYO MUHAMMAD KATIKA MIAKA ISHIRINI NA TATU YA UTUME WAKE MANENO YALIKUWA YAKIWEKWA KIMYWANI MWAKE KUPITIA MALAIKA JIBRIL, NAYE AKAWA AKIYAFIKISHA KWA WATU KAMA ALIVYO YASIKIA

MFANO: KUANZA KUANDIKWA KWA QURAN TUKUFU AMBAPO IKAWA INAHIFAZIWA KWENYE NGOZI ZA WANYAMA NA MAGOME NK PIA MASWAHABA WALIKUWA WAKIHIFADH KWENYE MIOYO YAO, NA KABLA YA KUFA KWAKE AKATOA MPANGILIO MZURI WA KUIHIFADHI QURAN NA HATIMAYE MPAKA HII LEO TUKO NAYO IKIWA HAIJA PUNGUZWA WALA KUONGEZWA NENO.

HUYO NDIYE MUHAMMAD AMBAYE PIA UKISOMA 18:18 KUMBU KUMBU UTAONA DIRECT INAMUHUSU KAMA HUJAELEWA ULIZA NTAKUFAFANULIA



MBONA UNATOA NAMBA ZA AYA BILA MAELEZO NDUGU?

LETE MAELEZO ILI UELEWEKE VIZUR, UKISOMA KUMBU KUMBU
18:18 NABII MUSA AAMBIWA,
"MIMI NITAWAINULIA NABII MIONGONI MWA NDUGU ZAO MFANO WAKO WEWE, NAMI NITATIA MANENO YANGU KINYWANI MWAKE,NAYE ATAWAAMBIA YOTE NITAKAYO MUAMURU"

SASA HAPA TUJIULIZE, NI NABII GANI HUYO ALIYE TABIRIWA KUJA NA ATAKUWA ANAFANANA NA MUSA (MOSES)??

JE, NI YESU? NI EZEKIEL? NI DANIEL? HOSEA? JOEL? MALACH? JOHN? AU MUHAMMAD!??

KAMA NI YESU MBONA KUNA HIZI TAFAUT??

1)KUTOKANA NA MAFUNDISHO YA KIKRISTO, YESU ANATAMBULIKA KAMA NI MUNGU WAKATI MUSA HAKUWA MUNGU!! JE NI KWELI?

2)YESU ALIUAWA ILI KUIKOMBOA DHAMBI YA ULIMWENGU WAKATI MUSA HAKUFA KWA SABABU YA KUUKOMBOA ULIMWENGU KTK DHAMBI. JE NI KWELI?

3)JESUS ALIKUFA NA KUFUFUKA SIKU YA TATU WAKATI MUSA HAKUFANYA HVYO!! JE NI JWELI?

KWAHYO MPAKA HAPO TUTAGUNDUA KUWA YESU NA MUSA HAWAFANANI

TUANGALIE KWA MUHAMMAD!! JE ANAFANANA NA MUSA?

1)MUSA ALIZALIWA NA WAZAZI WAWILI BABA NA MAMA NA MUHAMMAD NAYE HVYO HVYO LKN YESU ALIKUWA NA MAMA BILA BABA, JE NI KWELI?

2) MUSA NA MUHAMMAD WALI POKELEWA KAMA MANABII KWA WATU WAO
MAYAHUD WALIKILI KUWA MUSA NI NABII WAO, NA WAARABU NAO WALIKUJA KUKUBARI KUWA MIHAMMAD NI MTUME NA HATIMAYE ULI MWENGU MZIMA UMETAMBUA HILO,

LICHA YA KUWA WOTE KTK UTUME WAO WALIPITIA MISUKO SUKO TOKA KWA JAMII ZAO,

LKN UKISOMA JOHN 1:11 INASEMA "JE (JESUS) CAME UNTO HIS OWN BUT HIS OWN RECEIVED HIM NOT"

NA MPKA LEO BAADA YA MIAKA 2000 KUPITA BADO WATU WAKE AMBAO NI WAYAHUD HAWAMKUBARI!! JE NI KWELI?

3) NDOA: MUSA NA MUHAMMAD WALIOA NA KUZAA WATOTO LKN YESU ALIBAKI KUWA BACHELA MAISHA YAKE YOTE. JE NI KWELI??

5) UFALME: MUSA NA MUHAMMAD WALIKUWA NI MANABII NA PIA WAFALME LKN JESUS HAKUWA HVYO!

JOHN: 18:36 JESUS SAYS: "MY KINGDOM IS NOT OF THIS WORLD' IF MY KINGDON WERE OF THIS WORLD,THEY WOULD MY SERVANTS FIGHT, THAT, I SHOULDN'T BE DERIVERES TO THE JEWS, BUT NOW IS MY KINGDOM NOT FROM HENCE,"

PIA YOHANA 14:30 YESU ASEMA "MIMI SITASEMA NANYI MANENO MENGI TENA, KWA MAANA YUAJA MFALME WA ULIMWENGU HUU"

6) SHARIA: MOSES NA MUHAMMAD WALILETA SHERIA NA MUFUMO YA KUISHI KWA WATU WAO

MFANO AMRI 10 ZA MUSA KWA WAISRAEL. NA PIA MUHAMMAD ALIPOKUJA ALIKUTA WATU WANAISHI MAISHA YA KISHENZI NA UJINGA WA HALI YA JUU.

MFANO: WATU WALIKUWA WAKIOA MAMA ZAO WA KAMBO KWA KUWARITHI, PIA WATOTO WA KIKE WALIKUWA WAKIZIKWA HALIYAKUWA NI WAZIMA!!

HVYO MUHAMMAD AKAJA NA KUWAPA LAWS AND ORDERS THEY NEVER HAD BEFORE

ILA UKISOMA MATAYO 5:17-18 YESU ASEMA
"Msidhani ya KUWA nalikuja kutengua taurati au manabii, la, sikuja kutengua Bali kutimiliza"

7) VIFO: WOTE MUHAMMAD NA MUSA WALIKUFA VIFO VYA KAWAIDA LKN KWA MUJIBU WA WAKRISTU YESU ALIUAWA KWA MATESO MSARABANI. JE NI KWELI?

8) MAZIKO: MUSA NA MUHAMMAD WOTE WALIZIKWA ARDHINI, LKN KWA MUJIBU WA WAKRISTO JESUS IN HEAVEN! JE NI KWELI?

SO KUTOKANA NA HYO MIFANO YA ULINGANISHAJI HAPO JUU, JE NANI UNADHANI ANAFANANA MUSA (MOSES)??

NB: 18:19 kumbu kumbu
.......MTU ASIYE SIKILIZA MANENO YANGU ATAKAYO YASEMA YULE KWA JINA LANGU.....

SWALI! MUHAMMAD ALIKUWA AKIZUNGUZA KWA JINA LA NANI??

UKIFUNUA QUR'AN TUKUFU (MANENO YA MUNGU) SURA ZOTE HUANZIA NA

"BISMILLAH ARRAHMANI AREAHIIM"

MAANA YAKE NI

"KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHMA MWENYE KUREHEMU;"

KAMA MUHAMMAD ASINGEANZA KWA KUTAJA HILI JINA LA MWENYEZI MUNGU KAMA ILIVYO BASHIRIWA KTK HYO AYA YA 18:19 KUMBU KUMBU BASI HAPANA SHAKA HAPO KUNGEKUWA NA MASWALI MENGI YA KUJUULIZA!!

AMKA NDUGU YANGU!! MUHAMMAD IS IN YOUR BIBLE!!! DONT YOU KNOW?
Huo ni utabiri au mfano?
 
wakuu iko aya katika Quran tukufu inayohusiana na sept 11 attack. labda tujaribu kuichambua.
1.Hii aya inapatikana katika sura ya tisa-Suratul Ahzab ( shambulio nalo lilitokea mwezi wa tisa yaani sept)
2. hii sura inapatikana katika Juzuu au Chapter ya 11. (shambulio nalo lilikuwa tarehe 11)
3. katika aya ya 110 katika sura hiindio kuna aya hiyo (kumbuka majengo yale yalikuwa na ghorofa 110.
4. aya hiyo inasema na mimi nanukuu "hayatodumu majengo yao ambayo wameyajenga kwa shaka ndani ya mioyo yao" (S.A)
NB: WHETHER NI COINCIDENCE AU ILITABIRI SHAMBULIO HILI MUNGU NDIE ANAEJUA.
hayatadumu;yataondolewa na nini?
 
nyie wak
na huyo aliyeshushiwa Quran amekufa akiwa hajui kusoma wala kuandika!
nyie wakristu tunawatambua zamani kua hamumpendi our prophet so pilipili ya shamba yawawashia nini,hii mada haijazungumziwa mambo ya udini humu ni mawazo ya kichwani na review za vitabu
 
Use your head now. Angalia hiyo ndege, chini imebeba makombora.



Wasikilize watoa ushuhuda hapo kua ndege Hii ya Pili, Sio ya kimarekani kama ilivyo dhaniwa mwanzo, na haikua na Alama ya shirika lolote la ndege Duniani. Wanasema " It was grey and it looks like a fighter jet."

<font size="4">

Tuliona tulichokiona na tuliona marekani ilivyohamanika na tukio lile. Kwa wale ambao wanapenda hadithi za kubuni waendelee tu.
 
Sept. 11 inamkanganyiko mwingi sana, inawezekana kabisa ni mchezo ulichezwa na wamarekani wenyewe..ila ukijiuliza wafanye hivyo wenyewe ili iweje ndo majibu hupati
Ili wapate justification ya kuvamia nchi za watu
 
HOAX,HOAX,HOAX! Quran ilishatambua uwepo wa aeroplane? Na skyscrapers,na hiyo sept 11 iliyotajwa kwenye hiyo quran ya (rafiki) ni kutoka kwenye Gregorian calendar? Au hii ya leo tarehe --1436? Ila naskia sayansi yooote imejazwa humo kwenye kitabu,na wasomaji wa kitabu hawajui lolote kuhusu sayansi,ila wachache mno waliokiasi kitabu.
Kwenye miti hakuna wajenzi una lingine ewe myahudi wa Tanzania?
 
macho yaliona bahati mbaya sana kuona sio kusikia. labda ndege ya kwanza. Pili niiiona ikigonga jengo live haikuwa ya jeshi!
 
Al-qaeda walikiri kuhusika na shambulio hilo!! Osama hakuishia tu kukiri,ila pia alionyesha kufurahishwa na jinsi mpango wenyewe ulivyoenda vizuri!! Osama ameonekana kwenye video tapes kadhaa akipeleka ujumbe kwa marekani kuwakumbusha kuwa the war is not over yet,tokea shambulio hilo la sept 11 kumetokea mashambulio mengine madogo kadhaa,pamoja na majaribio kadhaa ya ugaidi,na hata pale mission ilipo fail bado al qaeda hawakusita kujitokeza na kuyakiri yale waliyoya suka wao, kuhusu hilo la sept 11 labda mungeniambia kuwa marekani ndiyo iliyowatuma al qaeda na osama kutekeleza uhalifu huo!! Otherwise the string of conspiracies will cover the truth sussesfully.
Huyo Osama mwenyewe ni zao la Wamarekani
 
Use your head now. Angalia hiyo ndege, chini imebeba makombora.



Wasikilize watoa ushuhuda hapo kua ndege Hii ya Pili, Sio ya kimarekani kama ilivyo dhaniwa mwanzo, na haikua na Alama ya shirika lolote la ndege Duniani. Wanasema " It was grey and it looks like a fighter jet."

Jambo nililojifunza. Dunia ya leo kuna nguvu kubwa ya "distortion of information". Jambo hili lingekua limetokea zama za akina Yesu tungekua na vitabu vingi a maelezo yanayopingana lakini ni juzi 2001. Leo 2018 stori zinakua mpya.
 
Tuliona tulichokiona na tuliona marekani ilivyohamanika na tukio lile. Kwa wale ambao wanapenda hadithi za kubuni waendelee tu.
Wakati tukio hilo linatokea [thanks to TV] kuna amateur photographers pamoja na mashirika kama CNN/CBS/BBC yalionyesha tukio hilo na dunia nzima ilishuhudia hili. Wakati balozi za marekani nchini kenya na tanzania zilivyolipuliwa ilikuwa ni hivyo hivyo. Watuhumiwa hao walikiri kuwa sehemu ya kikundi cha Alqaida.
 
Back
Top Bottom