Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,215
Wimbo wa mama ni kweli unapendwa sana tena na kila mtu kwa kuwa tu kila mtu anampenda mama yake hii ndio sababu jamii ikaukubali.
Tatizo ni pale unaposema 'mama ulinitoa duniani' unaharibu maana pana ya wimbo ni kweli wapo wanawake huwatoa watoto wao duniani baada ya kuwazaa.
Kwanini hamsemi 'kunileta duniani' hivi ni kweli hamjui kiswahili kwa kiwango hiki au mnajifanya wakongo?
Kumtoa mtu duniani ina maana kumuua.
Mimi ikifika pale tu nachukia naamini mama yangu hakunitoa duniani, mkajipange.