Bella na Ommy Dimpoz, Ni kweli hamjui hili kosa kubwa?

Bella na Ommy Dimpoz, Ni kweli hamjui hili kosa kubwa?

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
5,913
Reaction score
1,215
Wimbo wa mama ni kweli unapendwa sana tena na kila mtu kwa kuwa tu kila mtu anampenda mama yake hii ndio sababu jamii ikaukubali.

Tatizo ni pale unaposema 'mama ulinitoa duniani' unaharibu maana pana ya wimbo ni kweli wapo wanawake huwatoa watoto wao duniani baada ya kuwazaa.

Kwanini hamsemi 'kunileta duniani' hivi ni kweli hamjui kiswahili kwa kiwango hiki au mnajifanya wakongo?

Kumtoa mtu duniani ina maana kumuua.

Mimi ikifika pale tu nachukia naamini mama yangu hakunitoa duniani, mkajipange.
 
wimbo wa mama ni kweli unapendwa sana tena na kila mtu kwakuwa tu kila mtu anampenda mama yake hii ndio sababu jamii ikaukubali

tatizo ni pale unaposema 'mama ulinitoa duniani' unaharibu maana pana ya wimbo .ni kweli wapo wanawake huwatoa watoto wao duniani baada ya kuwazaa.

kwanini hamsemi 'kunileta duniani' hivi ni kweli hamjui kiswahili kwa kiwango hiki au mnajifanya wakongo'

kumtoa mtu duniani inamaana kumu uwa .

mimi ikifika pale tu nachukia naamini mama yangu hakunitoa duniani.mkajipange

kiswahili kimekua.
 
Sio kila mtu anajua kiswahili kwa ufasaha kama venye unajua wewe teh...
 
Wimbo wa mama ni kweli unapendwa sana tena na kila mtu kwa kuwa tu kila mtu anampenda mama yake hii ndio sababu jamii ikaukubali.

Tatizo ni pale unaposema 'mama ulinitoa duniani' unaharibu maana pana ya wimbo ni kweli wapo wanawake huwatoa watoto wao duniani baada ya kuwazaa.

Kwanini hamsemi 'kunileta duniani' hivi ni kweli hamjui kiswahili kwa kiwango hiki au mnajifanya wakongo?

Kumtoa mtu duniani ina maana kumuua.

Mimi ikifika pale tu nachukia naamini mama yangu hakunitoa duniani, mkajipange.

mbona wapo sawa!! ni sawa na mtu asemae "jamani tokeni nje ingieni ndani". Wewe hapo umeelewa nini?
 
anamaanisha mama alimtoa tumboni akamleta duniani.... wewe ndo unafanya uonekane umekosewa
 
Nimepokea ushauri wako, nitafanyia kazi kwenye single yangu nyengine inayoitwa 'nani kama baba'
 
Embu ngoja nitest kwanza" heshima kwa mama uliteseka siku ya kunitoa duniani nikupe ninii mama thaman ya malez yako..." inanoga kweli🙂
na hii nyingine je...
"
heshima kwa mama uliteseka siku ya kunileta duniani nikupe ninii mama thaman ya malez yako...!"
Mmmh, sijui bwana. ..
 
Back
Top Bottom