Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,215
Hahahaaaa ni kosa dogo tu lakini haliondoi uzuri wa nyimbo.
Hahahaaaa ni kosa dogo tu lakini haliondoi uzuri wa nyimbo.
Tutakuja, ngoja tunywe
kidogo.
jumatatu yote hii mkuu
wimbo wa mama ni kweli unapendwa sana tena na kila mtu kwakuwa tu kila mtu anampenda mama yake hii ndio sababu jamii ikaukubali
tatizo ni pale unaposema 'mama ulinitoa duniani' unaharibu maana pana ya wimbo .ni kweli wapo wanawake huwatoa watoto wao duniani baada ya kuwazaa.
kwanini hamsemi 'kunileta duniani' hivi ni kweli hamjui kiswahili kwa kiwango hiki au mnajifanya wakongo'
kumtoa mtu duniani inamaana kumu uwa .
mimi ikifika pale tu nachukia naamini mama yangu hakunitoa duniani.mkajipange
Mama, umrshafika na huku!
no mkuu.vip ukiimba mwenyewe home huwa unahisi umemtendea haki mama yako
Wimbo wa mama ni kweli unapendwa sana tena na kila mtu kwa kuwa tu kila mtu anampenda mama yake hii ndio sababu jamii ikaukubali.
Tatizo ni pale unaposema 'mama ulinitoa duniani' unaharibu maana pana ya wimbo ni kweli wapo wanawake huwatoa watoto wao duniani baada ya kuwazaa.
Kwanini hamsemi 'kunileta duniani' hivi ni kweli hamjui kiswahili kwa kiwango hiki au mnajifanya wakongo?
Kumtoa mtu duniani ina maana kumuua.
Mimi ikifika pale tu nachukia naamini mama yangu hakunitoa duniani, mkajipange.
Nimepokea ushauri wako, nitafanyia kazi kwenye single yangu nyengine inayoitwa 'nani kama baba'

I miss you