Ben Kinyaiya afunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi

Ben Kinyaiya afunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi

Attachments

  • Screenshot_20190216-213914.png
    Screenshot_20190216-213914.png
    89.9 KB · Views: 34
Wabongo, bwana.... Yaani nimecheka mwenyewe kama mjinga

Kweli nimeamini utamu wa pipi ni mate yako mwenyewe!!!

Kipendacho roho hula nyama mbichi

Kitanda usicholalia, hujui kunguni wake!

Adhabu ya kaburi, aijuae maiti

Siri ya mtungi, aijuae kata!

Lakini yote tisa, kumi ni "Pilipili usiyoila, yakuwashia nini!"
 
Safi,upendo na mapenzi Siyo sura ni kupata mtu mnayeheshimiana,mnajaliana,mnasikilizana,mnapendana,hayo ya muonekano hayana nafasi ktk maisha ndiyo maana siku hizi Ndoa hazidumu cos Watu wanatamaniana body morphology,sura sijui nywere oooh Sijui chura,wanawake nao wanaangalia six pack Sijui na mbwembwe kibao mkianza kuchokana dakika 0 mnatengana

Hongera sana Ben,Kila la heri maana umepata wa Maisha yako na si wa JF,fesibuku au instagram.
 
Back
Top Bottom