Ben Kinyaiya afunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi

Ben Kinyaiya afunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi

Safi,upendo na mapenzi Siyo sura ni kupata mtu mnayeheshimiana,mnajaliana,mnasikilizana,mnapendana,hayo ya muonekano hayana nafasi ktk maisha ndiyo maana siku hizi Ndoa hazidumu cos Watu wanatamaniana body morphology,sura sijui nywere oooh Sijui chura,wanawake nao wanaangalia six pack Sijui na mbwembwe kibao mkianza kuchokana dakika 0 mnatengana

Hongera sana Ben,Kila la heri maana umepata wa Maisha yako na si wa JF,fesibuku au instagram.
Vijana hawawezi kuelewa mkuu.
 
Wore wawili kila mmoja Ana Nia yake ya maslahi. Kwa mwanamke Kama huyo Dada UK atakuwa alipata Mzungu akafa nankupata Tena Mzungu ni maajaliwa sana. Kupata mweusi wa kuwa nae wake ni ngumu Sana. Wapo wanawake wengi kwenye midlife crisis age walijilipua ulaya hawapati wanaume wa Mana labda tokea Eastern Europe wanaona Bora wake waolewe na wanaume wa nyumbani.

Hapo Ben yeye atateleza tuu. Haya ndio pia yaliyotokea kwa Frank gonga na Gladys. Dada zetu ulaya umri unakuwa umeenda wanaume wa kusettle nao hakuna inabidi waangalie Bongo Kama Kuna looser yoyote aliyetayari kuoa wanamtunuku.

Longrun ndoa za hivi huwa hazidumu kabisa after 6 yrs utasikia chali kila mtu kashapata anachorizika. Refer to mke wa Marehemu James dandu nae ilitokea issue Kama hizi Sweden akaja akaolewa na kijana Happ bongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni ujinga, kwani kuna ajabu gani hapo? Mitanzania hovyo kabisa, ndio maana mnapigwa T 2.4 mnaishia kucheka cheka tu.
 
Kinachonishangaza huyu dada Ana ubaya gani mpaka mnatokwa na mineno ya hovyo hivyo!
[emoji12][emoji12][emoji12]
Good%20morning%20fam%20_blush__blush__blush_.jpeg
 
Back
Top Bottom