feitty
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 2,594
- 4,189
Kumbe Kinyaiya ni wachaga.Acheni hizo huyu mangi Ben sio shoga. Tunamjua vema. Sema jamaa ni opportunist sana.
Sijawahi kulijua hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe Kinyaiya ni wachaga.Acheni hizo huyu mangi Ben sio shoga. Tunamjua vema. Sema jamaa ni opportunist sana.
Nimeishi naye mitaa ya nyuma ya mango garden na tumecheza sana mpira pale uwanja wa garden ....jamaa kweli ni marioooAcheni hizo huyu mangi Ben sio shoga. Tunamjua vema. Sema jamaa ni opportunist sana.
Yap ni mangi.
Hahaha we jamaa itakua tunajuana. Angle zangu mingi naona upo. From sinza kitambo, kilingeni msasani. Mchizi sio fag kabisa.Nimeishi naye mitaa ya nyuma ya mango garden na tumecheza sana mpira pale uwanja wa garden ....jamaa kweli ni mariooo
Ndiyo zake
Ile kujipodoa kujiremba watu ndy wanahisi ni shga ila hakuna ushahidi huooo
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Highly probable huyo bi harusi ni shemale!! Huo muonekano wake ni tata. Huyo siyo pure woman.
-Kaveli-
Huyu mdada kama mcheza mielekaMTANGAZAJI maarufu Bongo, Ben Kinyaiya siku ya leo Jumamosi afunga ndoa ya kiserikali na mchumba wake wa siku nyingiView attachment 1024168View attachment 1024169View attachment 1024195
PICHA PAMOJA : Ben Kinyaiya na Mkewe Katika Private party yao baada ya kufunga Ndoa [emoji173][emoji173]View attachment 1024625
Enzi za uchumbaView attachment 1024367
Lete Kamba RafikiRafiki ya kwetu tunafunga lini?
Rafiki bado unatembea kwa miguu wakati kuna gari tatu?[emoji6][emoji6][emoji6]Lete Kamba Rafiki
The same reason ambayo ilimfanya Jackline amkubalie Reginald MengiWarembo wa kidigital eeeh
Kwahyo wasira akija gear inabadilishwa angani ila mwanaume unaoneaje mtu ka jike dume mapenzi haya ni upofu aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
This makes sense!Hakuna lolote huyo Ben anataka makaratasi UK.hii ni Mara ya 2.ya kwanza ilidunda. Ni fraud tu hapo. Home office wa UK watataka proof ya mapichapicha ndio inabidi afanye hivyo
Ni kweli yaani mchaga na pesa ni hatari. Lazima huyo mama atakuwa na jiwe la maana lakini pia kuna wamama ni wajanja wana akili kupita maelezo anaweza asifanikishe malengo yake anayopanga namna ya kuchota mali ya huyo mama.Acheni mindset za kiboya watanzania. Huyu mangi sio choko. Ni vile anapenda kuwaiga wakongo. Huyo mwanamke ana mzigo. Ben kamchukua shauri ya pesa.