safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Khaaaaaa my mother?Mmmh jamaniii sio mwanaume huyo kweli kavaa shela kutuzuga tuu ili akamkule ben vizuri..kha[emoji85]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaaaaa my mother?Mmmh jamaniii sio mwanaume huyo kweli kavaa shela kutuzuga tuu ili akamkule ben vizuri..kha[emoji85]
Single mazas oyeeeSio wa ben
opportunist huh!Kusutwa ni suna
Ben anaoa na kuacha wadada wanaoishi ughaibuni wenye passport zao. Awe ameachwa na mzungu au alijilipua au alizaliwa yeye anachotaka ni mdada wa Ughaibuni mwenye life.
Akishakuwa mume halali huwashawishi wadada wachukue mikopo benki na hela Ben anaizungusha kwenye biashara zake.
Alishaoa Denmark na Uingereza alimuoa Suzy mtoto wa Kidigo.
Kwenye maslahi Ben haangalii sura.
Kuna wakati mdada wa Denmark alitaka Kinyaia Pub iuzwe apewe chake baada ya kujua alitumika mapenzi hakuna.
😂😂
wwwwoooozaaa had tunapata ngv ghafla yaan 😂😂😂😂..shoga na mm natafta sasa rasmi😄Single mazas oyeee
Hahahahahaha umenichekeshaa sanaa we mtuKweli nimeamini utamu wa pipi ni mate yako mwenyewe!!!
Kipendacho roho hula nyama mbichi
Kitanda usicholalia, hujui kunguni wake!
Adhabu ya kaburi, aijuae maiti
Siri ya mtungi, aijuae kata!
Lakini yote tisa, kumi ni "Pilipili usiyoila, yakuwashia nini!"
Sawa tu shoga ila kwenye mavazi usiniangushe, nitakuwa matron [emoji3][emoji3]wwwwoooozaaa had tunapata ngv ghafla yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..shoga na mm natafta sasa rasmi[emoji1]
😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷😷MTANGAZAJI maarufu Bongo, Ben Kinyaiya siku ya leo Jumamosi afunga ndoa ya kiserikali na mchumba wake wa siku nyingiView attachment 1024168View attachment 1024169View attachment 1024195
Enzi za uchumbaView attachment 1024367
Mimi nina mashaka hayo...Mungu anisamehe tuu..Khaaaaaa my mother?
Mimi nina mashaka hayo...Mungu anisamehe tuu..
Sweetie mbna kama bibi harusi anajina LA kihayaHuyi biharusi lazima ametokea nyanda za juu kusini..yaan ninacheka hilo pose la siku anavalishwa pete jaman khaaa..huo mgauni sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..aisee
Hahahah maHB mna mbwembwe sanaaKwanza tujiulize huyu mwanamke nani anamjua?
Je anafahamika mjini ?
Kama hafahamiki aisee itakuwa ni kinyume ya picha hii.
Lakini unajua mahandsome boy hatuowagi wanawake waliotuzidi uzuri?
Tunaogopa sana kugongewa,alafu pili hatunaga stress labda eti umzimie saaaaaaaana kwa uzuri wake,tunaona kawaida na tunawapenda wake zetu kwa afya.
Huyu hapa..Kwanza tujiulize huyu mwanamke nani anamjua?
Je anafahamika mjini ?
Kama hafahamiki aisee itakuwa ni kinyume ya picha hii.
Lakini unajua mahandsome boy hatuowagi wanawake waliotuzidi uzuri?
Tunaogopa sana kugongewa,alafu pili hatunaga stress labda eti umzimie saaaaaaaana kwa uzuri wake,tunaona kawaida na tunawapenda wake zetu kwa afya.
Sikuwa mbali na ukweli