Ben Kinyaiya afunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi

opportunist huh!
 
Hahahahahaha umenichekeshaa sanaa we mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wwwwoooozaaa had tunapata ngv ghafla yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..shoga na mm natafta sasa rasmi[emoji1]
Sawa tu shoga ila kwenye mavazi usiniangushe, nitakuwa matron [emoji3][emoji3]
 
Kwanza tujiulize huyu mwanamke nani anamjua?
Je anafahamika mjini ?

Kama hafahamiki aisee itakuwa ni kinyume ya picha hii.

Lakini unajua mahandsome boy hatuowagi wanawake waliotuzidi uzuri?
Tunaogopa sana kugongewa,alafu pili hatunaga stress labda eti umzimie saaaaaaaana kwa uzuri wake,tunaona kawaida na tunawapenda wake zetu kwa afya.
Mimi nina mashaka hayo...Mungu anisamehe tuu..
 
Hahahah maHB mna mbwembwe sanaa
 
Huyu hapa..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…