Ndio hivyo ben keshapiga mahesabu yake hapo
Wacha mambo yako basi [emoji23][emoji23][emoji23]Huyi biharusi lazima ametokea nyanda za juu kusini..yaan ninacheka hilo pose la siku anavalishwa pete jaman khaaa..huo mgauni sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..aisee
Kwanza tujiulize huyu mwanamke nani anamjua?
Je anafahamika mjini ?
Kama hafahamiki aisee itakuwa ni kinyume ya picha hii.
Lakini unajua mahandsome boy hatuowagi wanawake waliotuzidi uzuri?
Tunaogopa sana kugongewa,alafu pili hatunaga stress labda eti umzimie saaaaaaaana kwa uzuri wake,tunaona kawaida na tunawapenda wake zetu kwa afya.
Sweetie mbna kama bibi harusi anajina LA kihaya View attachment 1024405
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah nimecheka kama mwendawazimuKweli nimeamini utamu wa pipi ni mate yako mwenyewe!!!
Kipendacho roho hula nyama mbichi
Kitanda usicholalia, hujui kunguni wake!
Adhabu ya kaburi, aijuae maiti
Siri ya mtungi, aijuae kata!
Lakini yote tisa, kumi ni "Pilipili usiyoila, yakuwashia nini!"
Kwahyo mnaoa vtu vibovu ili msigongewe eeeh ngoja aharibu sura watoto. Pia warembo hupenda wanaume wenye sura ngumu
Sent using Jamii Forums mobile app
wwwwoooozaaa had tunapata ngv ghafla yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..shoga na mm natafta sasa rasmi[emoji1]
Aaaah sio kweli bhana.unawajua warembo wa siku hizi?
Mimi kazini Naumia kila siku watoto wanajigonga,wanajichekesha bila sababu,wako romantic na mimi wakiongea,ila akija ndigu yake wasila wanaongea huku wanabana lipsi ili yaishe.
Nimeamini Uchawi upo!
Ww....Mmmh jamaniii sio mwanaume huyo kweli kavaa shela kutuzuga tuu ili akamkule ben vizuri..kha[emoji85]
ππππ