Ben Kinyaiya afunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi

Ben Kinyaiya afunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi

Uuuuuuwi jamaa kapigwa libwata si bure

#bamia_ndefunene
Hamjui tu,dogo tangu enzi anasoma jitegemee alikua anacheza na fursa,kibibi farashuu miaka hiyo kinauza viepe tai mtaani ndio kilimfundisha mapenzi Ben.
Akitoka shule anajua kuna plate yake pale jioni.
Kibibi nacho kinamwambia fata nyumbani. Dogo akifika huko ni kukamuliwa tu.mpaka akazoea badae ikawa live tu.
Sasa huyo farashuu ukimuona mbona kaoa mrembo hapo.
 
Back
Top Bottom