Ben Kinyaiya afunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi

Ben Kinyaiya afunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi

Kusutwa ni suna
Ben anaoa na kuacha wadada wanaoishi ughaibuni wenye passport zao. Awe ameachwa na mzungu au alijilipua au alizaliwa yeye anachotaka ni mdada wa Ughaibuni mwenye life.

Akishakuwa mume halali huwashawishi wadada wachukue mikopo benki na hela Ben anaizungusha kwenye biashara zake.

Alishaoa Denmark na Uingereza alimuoa Suzy mtoto wa Kidigo.

Kwenye maslahi Ben haangalii sura.

Kuna wakati mdada wa Denmark alitaka Kinyaia Pub iuzwe apewe chake baada ya kujua alitumika mapenzi hakuna.
Asee wewe Dada una kipajiiiiiii FACTS.
 
Kuna tofauti gani na hii?
Screenshot_20190217-113943~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli nimeamini utamu wa pipi ni mate yako mwenyewe!!!

Kipendacho roho hula nyama mbichi

Kitanda usicholalia, hujui kunguni wake!

Adhabu ya kaburi, aijuae maiti

Siri ya mtungi, aijuae kata!

Lakini yote tisa, kumi ni "Pilipili usiyoila, yakuwashia nini!"
Hellloooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom