Jhounne
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 1,093
- 2,554
[emoji3][emoji3]Kweli nimeamini utamu wa pipi ni mate yako mwenyewe!!!
Kipendacho roho hula nyama mbichi
Kitanda usicholalia, hujui kunguni wake!
Adhabu ya kaburi, aijuae maiti
Siri ya mtungi, aijuae kata!
Lakini yote tisa, kumi ni "Pilipili usiyoila, yakuwashia nini!"