Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
View attachment 333964As a celebrity kujiweka msafi ni haki lakini kujiongezea mapambo mikogo na madoido ikiwemo kutumia make ups za wanawake kunaacha maswali mengi na kupunguza urijali wako kama mwanaume.
Dressing table inapofananaa na ya wanawake unataka tukueleweje, mdogo mdogo Ben usije rusha ngumi siku moja.
Msimlaumu kama ikiwa rafikize ni wa aina hii.