BEN KINYAIYA: Thats too much Bro

BEN KINYAIYA: Thats too much Bro

As a celebrity kujiweka msafi ni haki lakini kujiongezea mapambo mikogo na madoido ikiwemo kutumia make ups za wanawake kunaacha maswali mengi na kupunguza urijali wako kama mwanaume.

Dressing table inapofananaa na ya wanawake unataka tukueleweje, mdogo mdogo Ben usije rusha ngumi siku moja.
View attachment 333964
Msimlaumu kama ikiwa rafikize ni wa aina hii.
 
Picture 001.jpg

'"Weekend iliyopita nilialikwa kwenye Part na rafiki zangu waishio mji wa NOTRHAMPTON ambao upo umbali wa kama masaa 2 kwa gari kutoka apa London UK. kwakweli nimeufurahia ukarimu wao waluionionyesha kwani wengi wao walikuwa wananisikia tu kwa jina lakini hatukuwahi kuonana 'LIVE' so ilikuwa ni furaha kwa wote kukutana, na walikuwepo watu wa aina mbalimbali kwenye Part hiyo kwa ajili ya chakula na kinywaji na kila mtu alijishebedua atakavyo!" ( By Kinyaia)
 
View attachment 333987

Huyu jamaa si alioa binti mmoja wa kitanga anaishi Stockwel?
 
ben ni handsome ila ni rijali
 
Attachments

  • dida.jpg
    dida.jpg
    10 KB · Views: 85
Kuna picha ziko Instagram zinamonyesha ben kapiga picha na magasho tofautitofauti hapa mjini
 
As a celebrity kujiweka msafi ni haki lakini kujiongezea mapambo mikogo na madoido ikiwemo kutumia make ups za wanawake kunaacha maswali mengi na kupunguza urijali wako kama mwanaume.

Dressing table inapofananaa na ya wanawake unataka tukueleweje, mdogo mdogo Ben usije rusha ngumi siku moja.
Sshv mods wanakuban jr
 
Ila anafaa kwa matumiz y kibinadam(kumla jicho)
 
Hata ww umeona eeeeeeeeeeh? ktk kipindi chake cha Kc yaani anafanana na hao anaowahoji
 
Mmarangu uyu anapenda kujipamba kama Dada zake ingawa hamna uhakika wa kua chakula sema tu anapenda kujipamba
 
Back
Top Bottom