Ben Kinyaiya

Ben Kinyaiya

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Posts
33,643
Reaction score
36,090
Jamani ni aibu......... Ben Kinyaiya jana alitaka kupiga picha na Drogba pale uwanja mpya wa taifa.....lakini akivyosukumwa na watu wa security......ni aibu kwa jinsi alivyodondoka chini.............. YAANI JANA KAJIDHALILISHA SANA KWA KITENDO KILE......... kuna mwingine kaona hilo .......????
 
Duh sikushuhudia hilo.....lakini hawa jamaa wa security hata kwa upande wa waandishi wa habari wamewanyanyasa mno mpaka wakawa wanashindwa kufanya kazi zao kwa ufasaha.
 
Akome yule bishoo!

We kijana wa kiume umevaa mahereni, umejichubua, utawezana na vurugu za mtaani za watu wa uswazi, tena waliopagawa na maisha?

Apishe watu wenye shughuli zao, yeye akauze sura kwenye ma-media huko!....wai!
 
akome yule bishoo!

we kijana wa kiume umevaa mahereni, umejichubua, utawezana na vurugu za mtaani za watu wa uswazi, tena waliopagawa na maisha?

apishe watu wenye shughuli zao, yeye akauze sura kwenye ma-media huko!....wai!

mkuu pj
kumbe unamjua
security walikuwa sawa awawezi kumtia najisi drogba kirahisi
nani asiemjua kinyaia;anatungua wake za watu kwa kupewa pesa huku nae anatunguliwa;yule mama wa ile club iliokuwa pale mikocheno karibu na chama;amemnynasa sana mumewe alikuwa kiongozi mkuu wa kaya moja ya kugawa umeme kwa kulipia tanesco;anamwacha mumewe anaenda kesha na hili shoga
loooh laana
mwosha huoshwa
 
kwani kuna ulazima na ku foto na drogba?...micfa ya kijinga tu.
 
Naye kazidi kihere here! bora walivyompiga kumbo hao watu wa security!
 
Huyo security aliemshika lazima aende kanisani kusali na kujitoa najisi

si angekakumbatia kakina "ngasa" kama anataka picha

shame on you kinyaia
 
Mkuu wa kaya naye hakusukumwa? Au alistuka mapema akaminya? Manake naye kwa masnap na maselebritiz hajambo.. LOL!
 
Kwa msio mjua huyu bishoo nawakilisha mapicha yake

4879two.jpg

[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Ben akilitumikia jukwaa [/FONT]

4879one.jpg

[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Ben kulia akiwa na swahiba wa kipindi cha Channel 5 [/FONT]
 
Huyo security aliemshika lazima aende kanisani kusali na kujitoa najisi

shame on you kinyaia

mama mia unahasira duh!! pole mwaya!!! huyo ndo mrembo wetu ben k!!
 
mkuu pj
kumbe unamjua
security walikuwa sawa awawezi kumtia najisi drogba kirahisi
nani asiemjua kinyaia;anatungua wake za watu kwa kupewa pesa huku nae anatunguliwa;yule mama wa ile club iliokuwa pale mikocheno karibu na chama;amemnynasa sana mumewe alikuwa kiongozi mkuu wa kaya moja ya kugawa umeme kwa kulipia tanesco;anamwacha mumewe anaenda kesha na hili shoga
loooh laana
mwosha huoshwa
sio mchezo mbona hasira kubwaa
 
Kwa msio mjua huyu bishoo nawakilisha mapicha yake

4879two.jpg

[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Ben akilitumikia jukwaa [/FONT]

4879one.jpg

[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Ben kulia akiwa na swahiba wa kipindi cha Channel 5 [/FONT]

mwanaume wa hivyo jamani mhh, kazi anayo mrembo wake!
 
tunaomba ushahidi wa picha tafadhari...
 
Omw....what if kama huyu mtu si shoga kama mnavomsema jamani?? He must be hurt badly...uyu kiumbe keshawai hojiwa na kukana jambo hili, na hatujawai sikia hata hao mabwana zake! Kututhibitishia!! Tuache kujudge watu kwa mambo ya kusikia jamani!:.

Turudi kwenye topic kwa kweli i dont support either side..ni kawaida watu kupiga picha na celebrities kwanini kuzuia kwa kuzalilisha watu namna hiyo!!..sipendi kuzalilishwa wala sifurahii mtu mwingine akifanyiwa ivo!!..
Then again ben..what was that for????mnawapa vichwa sana hao kina drogba! Watu wenyewe wana dharau! Yani wachezaji wetu walikuwa wakiwagusa tu timu nzima inakasirika jamani! Mbona football ni kawaida kusukumana?? Yani nakwambia timu kubwa za ulaya zikija hapa Tz..aziwezi/azikufanya dharau but shida africans!! Wanajiona wako juu sana kuliko sisi yani walikuwa wanawajia juu utafikiri wanacheza na watoto! Sitashangaa nikikuta kwenye vyombo vya habari wakiiponda timu yetu!....
 
Kwa msio mjua huyu bishoo nawakilisha mapicha yake

4879two.jpg

[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Ben akilitumikia jukwaa [/FONT]

4879one.jpg

[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Ben kulia akiwa na swahiba wa kipindi cha Channel 5 [/FONT]

UMENIKUMBUSHA ULE WIMBO KITAMBO....."Mabishoo wa bongo woteeeee...ch.......lol!!!
 
arghhhhh,.....safi sana kama wamemsukumilia mbali shoga ben ..na wakamtungulia mbali bwabwa marcio na kijitimu chake kwangu ni furaha teleeeeeee......mnashangaa security wa cote d'ivor kwa kunyanyasa watanzania lakini hamumshangai marcio maximo kwa kunyanyasa waandishi wa kitanzania kwa kuwanyima access to information na habari kwa ujumla??

ni maoni tuuu
 
Back
Top Bottom