FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
arghhhhh,.....safi sana kama wamemsukumilia mbali shoga ben ..na wakamtungulia mbali bwabwa marcio na kijitimu chake kwangu ni furaha teleeeeeee......mnashangaa security wa cote d'ivor kwa kunyanyasa watanzania lakini hamumshangai marcio maximo kwa kunyanyasa waandishi wa kitanzania kwa kuwanyima access to information na habari kwa ujumla??
Ni maoni tuuu

ni maoni tuuu
kama jamaa bwabwa mbona huwa anakunusha
jina lako zuri " who cares ?
Who cares kumbe una care weweee eeh!!!!
bht mamaa...who cares? naye ni kiumbe..ana moyo na roho achilia mbali utashi wa mema na mabaya...SOME TIMES I DO CARE
hhaaaa si hata mi nina moyo kama who cares???????!!!!!!!!!
Noted with many thanks..............................!
ahahahaa kaka chris usiogoooope kivile hilo neno mbona la kawaida tuu....kama unayo kamusi ya kiswahili fasaha inaweza kukupa msaada wa matuimizi mengi ya hilo neno "mpenzi"......
au muhusika bht naomba uwaeleweshe wadau umelitumia kwa maana ipi lisijeleta utata baadaye kama vijana wa kizenjibari walivyompa "pole samaki" ikawa tafarani
Mbona wa Marekani wakivaa mahereni hamuwaiti mashoga ila hapa nyumbani mtu akivaa mahareni munamuita bwabwa(shoga).Naomba hii topic ifunge yasijejurudia yale ya Lady jd,kuitukana JF yetu tukufu.
ahahahaa kaka chris usiogoooope kivile hilo neno mbona la kawaida tuu....kama unayo kamusi ya kiswahili fasaha inaweza kukupa msaada wa matuimizi mengi ya hilo neno "mpenzi"......
au muhusika bht naomba uwaeleweshe wadau umelitumia kwa maana ipi lisijeleta utata baadaye kama vijana wa kizenjibari walivyompa "pole samaki" ikawa tafarani
We nawe! Hutabiriki ndo maana! Ngoja nikawahi valeur bana! Endeleeni na kinyaiya wenu!akhaaa mie nimelitumia kwa its literal meaning kazi kwake shemeji yangu wa ku-'exajureti'
We nawe! Hutabiriki ndo maana! Ngoja nikawahi valeur bana! Endeleeni na kinyaiya wenu!
Kwa msio mjua huyu bishoo nawakilisha mapicha yake
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Ben akilitumikia jukwaa [/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Ben kulia akiwa na swahiba wa kipindi cha Channel 5 [/FONT]
hilo tummh kwa hiyo drogba analindwa or ?
teh teh mkuu hiyo kinywaji bado ipo?inanikumbusha mbaaaliWe nawe! Hutabiriki ndo maana! Ngoja nikawahi valeur bana! Endeleeni na kinyaiya wenu!