FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
arghhhhh,.....safi sana kama wamemsukumilia mbali shoga ben ..na wakamtungulia mbali bwabwa marcio na kijitimu chake kwangu ni furaha teleeeeeee......mnashangaa security wa cote d'ivor kwa kunyanyasa watanzania lakini hamumshangai marcio maximo kwa kunyanyasa waandishi wa kitanzania kwa kuwanyima access to information na habari kwa ujumla??
Ni maoni tuuu
kama jamaa bwabwa mbona huwa anakunusha
jina lako zuri " who cares ?