GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
He was a Proffessional Journalist! Sio hawa waleo ambao akipata tecno akafungua account anatafuta mic na kuanza kusumbua youtube!
SafiNa ' Unaboa ' kweli siyo Masihara!
Weweee watoto mliozaliwa juzi mnataka na nyie mje na hoja za kumjua mkapa..Hotuba zake hajawahi kutoa kichwani
Japo sipingani na mada
Yule hakusoma, alikariri Elimu.Je yule wa corupsheni is a cansa kwani alisomea wapi...mara inteprenuuaaaa.....hiiiiiii!!
Utofauti upo mkuu ....hotuba ya kuandikwa huwa inaandaliwa na wasaidizi wa raisi kwa kushirikiana na raisi mfano January makamba alikua muaandaji wa hotuba za Kikwete..Ila ukiwa unatoa hotuba kichwani it means there is no back up unachokijua kichwani ndicho kinachotoka mdomoniKwani kuna tofauti gani kati ya Mtu kutoa Hotuba yake Kichwani au akiandika? Kuna Watu ni ' Doltish ' kweli kweli hadi mnaboa tu kwa Hoja zenu.
Utofauti upo mkuu ....hotuba ya kuandikwa huwa inaandaliwa na wasaidizi wa raisi kwa kushirikiana na raisi mfano january makamba alikua muaandaji wa hotuba za kikwete..Ila ukiwa unatoa hotuba kichwani it means there is no back up unachokijua kichwani ndicho kinachotoka mdomoni
Mtu anaetoa speech pasipo kusoma ni smart zaidi ya yule anaesoma speech ambayo imekwishaandaliwa...under ceteris peribusKwahiyo? Hapa ndiyo unataka ' Kunidanganya ' nini labda?
Wapi naweza kupata hizo articles mkuu?Ukisoma ' Articles ' zake kwa mfano zile ' Op-ed ' mbalimbali alizokuwa akiandika katika Magazeti ya Daily News na Citizen utagundua aliiva sana.
Mahiga sijapata nafasi ya kumsikiliza kabisa na sijawahi kuvutiwa kuhusu yeye, Ila kwà bandiko lako hili Mkuu kesho nitatumia MB za Ofisi kumsikiliza, Mtu mwingine naona nae Yuko vizuri kwà kuvunja yai Prof Kabudi naona nae hayuko NyumaNaukubali uwezo wake, ila bila shaka hujawahi msikiliza marehemu balozi Agustine Mahiga.
Hakika hutojuta kumsikiliza the late Mahiga kwenye tasnia ya kuvunja yai. Huyo profesa wetu ni wa kawaida tu sema he's bold and confident.Mahiga sijapata nafasi ya kumsikiliza kabisa na sijawahi kuvutiwa kuhusu yeye, Ila kwà bandiko lako hili Mkuu kesho nitatumia MB za Ofisi kumsikiliza, Mtu mwingine naona nae Yuko vizuri kwà kuvunja yai Prof Kabudi naona nae hayuko Nyuma
Kwa faida yako hii ni moja ya interview zakeMahiga sijapata nafasi ya kumsikiliza kabisa na sijawahi kuvutiwa kuhusu yeye, Ila kwà bandiko lako hili Mkuu kesho nitatumia MB za Ofisi kumsikiliza, Mtu mwingine naona nae Yuko vizuri kwà kuvunja yai Prof Kabudi naona nae hayuko Nyuma
Huyu jamaa n Mbongo kweli!??Kwa faida yako hii ni moja ya interview zake