Ben Mkapa mwamba wa lugha ya Kiingereza

Ben Mkapa mwamba wa lugha ya Kiingereza

He was a Proffessional Journalist! Sio hawa waleo ambao akipata tecno akafungua account anatafuta mic na kuanza kusumbua youtube!

Ukisoma ' Articles ' zake kwa mfano zile ' Op-ed ' mbalimbali alizokuwa akiandika katika Magazeti ya Daily News na Citizen utagundua aliiva sana.
 
Kwani kuna tofauti gani kati ya Mtu kutoa Hotuba yake Kichwani au akiandika? Kuna Watu ni ' Doltish ' kweli kweli hadi mnaboa tu kwa Hoja zenu.
Utofauti upo mkuu ....hotuba ya kuandikwa huwa inaandaliwa na wasaidizi wa raisi kwa kushirikiana na raisi mfano January makamba alikua muaandaji wa hotuba za Kikwete..Ila ukiwa unatoa hotuba kichwani it means there is no back up unachokijua kichwani ndicho kinachotoka mdomoni
 
Utofauti upo mkuu ....hotuba ya kuandikwa huwa inaandaliwa na wasaidizi wa raisi kwa kushirikiana na raisi mfano january makamba alikua muaandaji wa hotuba za kikwete..Ila ukiwa unatoa hotuba kichwani it means there is no back up unachokijua kichwani ndicho kinachotoka mdomoni

Kwahiyo? Hapa ndiyo unataka ' Kunidanganya ' nini labda?
 
Naukubali uwezo wake, ila bila shaka hujawahi msikiliza marehemu balozi Agustine Mahiga.
 
Leo lugha ya Kiingereza imekuwa na maana tena? Zamani tukiambiwa siyo lazima Jiwe ajue Kiingereza kwa vile Wachina wameendelea bila Kiingereza!
 
Kwahiyo unatupa jiwe gizani? Atakaye sema yalaaa limempata au
emoji125.png
emoji125.png
emoji125.png
emoji125.png
?
 
Hawa wanaosoma academia watoto wa mageti,wanaopelekwa shule namagari ya njano wanafeli wapi? Vikiwa vidogo you know kibaao mpaka ukienda kutembelea hiyo familia mzazi anakaita ili kuringishia hizo you know lakini wakishamaliza shule tena tunafanana na sisi zaloookauka ngeli inaanza kuungwa na supa gluu
 
Naukubali uwezo wake, ila bila shaka hujawahi msikiliza marehemu balozi Agustine Mahiga.
Mahiga sijapata nafasi ya kumsikiliza kabisa na sijawahi kuvutiwa kuhusu yeye, Ila kwà bandiko lako hili Mkuu kesho nitatumia MB za Ofisi kumsikiliza, Mtu mwingine naona nae Yuko vizuri kwà kuvunja yai Prof Kabudi naona nae hayuko Nyuma
 
Hakika hutojuta kumsikiliza the late Mahiga kwenye tasnia ya kuvunja yai. Huyo profesa wetu ni wa kawaida tu sema he's bold and confident.
 
Mahiga sijapata nafasi ya kumsikiliza kabisa na sijawahi kuvutiwa kuhusu yeye, Ila kwà bandiko lako hili Mkuu kesho nitatumia MB za Ofisi kumsikiliza, Mtu mwingine naona nae Yuko vizuri kwà kuvunja yai Prof Kabudi naona nae hayuko Nyuma
Kwa faida yako hii ni moja ya interview zake

Pita na hapa

Back
Top Bottom