Ben Msuya: Askari Mtanzania aliyepata kuongoza Uganda

Yes niliusoma. Nilidhani unafanya 'compilation ' ya wote .

..Muhidin Kimario alivyofariki wasifu na mchango wake kuliweka vizuri hapa JF.

..Imran Kombe yeye mchango wake ktk vita haujawekwa vizuri hapa JF. Nikipata taarifa zake nitazileta kwenye jukwaa letu.
 
Duh!.....Buyoya alikuwa mtutsi ?... naye alishiriki kwenye zile Vita vya Drc pamoja na kina PK na M7?

Mtu Chake zitto junior Moronight walker wa kupuliza
 
Duh!.....Buyoya alikuwa mtutsi ?... naye alishiriki kwenye zile Vita vya Drc pamoja na kina PK na M7?

Mtu Chake zitto junior Moronight walker wa kupuliza
Yeah alishiriki kwenye mgogoro wa DRC hasa kuanzia 1998 kwenye second Congo war ingawa sio moja kwa moja ila support rebels kadhaa.

Kikubwa ni sababu kama CNDD au FNL Paripehutu na makundi mengine ya waasi yangepata nguvu kutokana na matokeo ya vita ya DRC basi naye angepinduliwa.

Mfano kwenye first Congo war waasi wa CNDD walipewa support na UNITA hasa kwenye mafunzo na silaha ili basically watoe support kwa askari wa Mobutu kupambana na "wavamizi" wa kitutsi kutoka Rwanda na Uganda.

Basically Buyoya ni mtutsi na alikua chama cha UPRONA so kwa namna yoyote ushindi wa watutsi wenzake yaani Kagame na Museveni ulikua the faida nyingi kuliko hasara.

So political dynamics zilimhitaji ashiriki hata kama indirectly ili kuzima nguvu za waasi wa CNDD lakini pia alihitaji ili kushiriki ili kupata "lion's share" ushindi ukipatikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…