Ben Paul abadili dini kutoka ukristo na kuwa muislamu

Ben Paul abadili dini kutoka ukristo na kuwa muislamu

Baada ya kuachika Bado anajitambulisha kama Muislamu kwa maneno na vitendo!?
 
Siku ya malkia wa nguvu Dar ya mwaka huu alitumbuiza, nilikua nafatilia kwenye Tv aibu nilikua naona mimi sababu ana viashiria vyote vya mtu aliyeleft
Kuna uzi nilicomment hivyo nimeshangaa kuona watu pia wanazungumza hapa
Hizi tuhuma anazo tangu warumi akiwa hai, nikachukulia ni story tu za mjini lakn hao wadau hapo juu wamecomment kwa uhakika sana nikahisi labda kuna connection yake imevuja, vijana wengi daslam wameleft ni masikitiko
 
Inasikitisha sana, yalitabiriwa haya, Wakristo wengi watashindwa na safari na kuanza kujiunga kwenye hayo mavitu ya jehanamu kama vile freemason, Uislamu, budha, ushoga na mengine yote.
 
Inasikitisha sana, yalitabiriwa haya, Wakristo wengi watashindwa na safari na kuanza kujiunga kwenye hayo mavitu ya jehanamu kama vile freemason, Uislamu, budha, ushoga na mengine yote.

Kama unatumia akili yako vizuri aliyokupa Mungu bure, huwezi kabisa kujumuisha Uislam kwenye kundi ulilotaja hapo juu. Masuala ya dini yanahitaji yajadiliwe na watu wenye akili na MAARIFA na sio watu wenye mihemko ya kidini na kujiona wao ndio wanamjua Mungu peke yao (Yesu hajatufundisha hivyo?)
Kwa kukusaidia tu,
Dini haitakupeleka mbinguni, hivyo tumia akili yako vizuri kabla ya kufika huko na kukuta Yesu hakutambui kama alivyo tuonya kabisa kwenye Biblia kuwa, Watu wangu wata angamia kwa kukosa maarifa!
 
Inasikitisha sana, yalitabiriwa haya, Wakristo wengi watashindwa na safari na kuanza kujiunga kwenye hayo mavitu ya jehanamu kama vile freemason, Uislamu, budha, ushoga na mengine yote.
Karudi ukristo namuona church kila leo
 
Back
Top Bottom