Ben Paul abadili dini kutoka ukristo na kuwa muislamu

Ben Paul abadili dini kutoka ukristo na kuwa muislamu

Huyu alifanya hivi kurahisisha kesi yake ya talaka ,jiongezeni

Ova
 
Unaanzaje kuacha kitimoto na bia,,,,uislam kidogo labda mtu akulie humo tokea mdogo na awe hajawah kuonja kitimoto,,,.....ila hawa wakubadili dini ukubwani wakiwa chocho wanakula kitimoto vzuri na bia, huyu mdudu mgumu sana kumuacha,,,,,,,,yani ni kama simba apate ladha ya nyama ya binadamu hawezi kuacha ndo maana inabd auliwe hio nayo ndo kwa kitimoto kama ulishaanza kuila kuacha ngumu,,,,dah kitimoto kabarikiwa sana,,,ijumaa inabidi nipige biriani la kitimoto
 
Back
Top Bottom