Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Huyo mwandishi nae king'ang'anizi! Kama anapenda habari za familia akafanye interview madale
Sasa wakikutana na vichaa kama Tid wanaishia kutukanwaJournalist should be polite but persistent.
DuuuhhHuyo mwandishi nae king'ang'anizi! Kama anapenda habari za familia akafanye interview madale
Sasa ameanza kukua na kutambua kuna tofauti kati ya kazi na maisha binafsi ya msanii.wanapenda kick wenywe yakishakuwa vululu wanakuwa wakali
Pata Picha kama Interview hii angefanyiwa Dudubaya?Ben Paul ali loose cool baada ya mwandishi kumuuliza kuhusu habari za mpenzi wake na mtoto wake ila Ben Paul hakutaka kuyazungumzia na kutaka aulizwe kuhusu mambo ya kazi zake za music, mwandishi huyo aliendelea kumkazia ndipo jamaa akacharuka na kuanza kugombana nae.
Ben Paul nae hataki kiki kama za Diamond?? Maana ndio vinavyowaongezea umaarufu kubadilisha mademu maarufu, kutupia picha za familia na habari za familia instagram