Ben Paul agombana na mwandishi wa EATV, baada ya kubanwa kuhusu habari za 'shemeji'

wanamuziki wa bongo inabidi wafundishwe kuwa muziki ni biashara pia muziki ni siasa..mwandishi hana kosa lolote.
 
wanamuziki wa bongo inabidi wafundishwe kuwa muziki ni biashara pia muziki ni siasa..mwandishi hana kosa lolote.
year alitaka kuchekecha akili yake na kweli kamtingisha... ila bongo kuna mengi yawezekana ametengeneza kiki ya kutoa tahadhari waandishi wasimuhoji kuhusu family. kwa akili ya kawaida sio rahisi ku-panic negative kwenye tv kubwa kama EATV kwa tv ndogo angewajibu hivyo ningemwelewa.... je tujiulize ni tv gani zilishamuhoji kuhusu family aka-react japo kidogo..
 
Awashitaki tu awo EATV kwakua alimkanya km mambo ya familia asiyazungumze n jamaa apo ameshikilia kumuiza hbr za familia,fungua kesi babaaaa
 
Angrrrrrr its annoying aisee, huyo mtangazaji alizidi bana, king'ang'anizi kama mkia wa ng'ombe? Hata ingekuwa mimi adrenaline ingemwagika
 
Hahahahaaaa aisee huyo mwandishi kaniacha hoi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi ndo wa kuitwa nan vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…