Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
year alitaka kuchekecha akili yake na kweli kamtingisha... ila bongo kuna mengi yawezekana ametengeneza kiki ya kutoa tahadhari waandishi wasimuhoji kuhusu family. kwa akili ya kawaida sio rahisi ku-panic negative kwenye tv kubwa kama EATV kwa tv ndogo angewajibu hivyo ningemwelewa.... je tujiulize ni tv gani zilishamuhoji kuhusu family aka-react japo kidogo..wanamuziki wa bongo inabidi wafundishwe kuwa muziki ni biashara pia muziki ni siasa..mwandishi hana kosa lolote.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo mwandishi nae king'ang'anizi! Kama anapenda habari za familia akafanye interview madale
Ni kweli huyu mwandishi anauliza Ben POL kama kamuacha mama wa mtoto sijui anataka aolewe yeye.Ben Pol ana huruma sana,uyo mwandishi kanjanja angekua kalazwa sasa hivi.