Ben Paul akila bata ughaibuni

Kitendo cha kutua tu ardhi ya ughaibuni ni bata tosha[emoji56]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu.
Kuna watu kibao nawafahamu wanaogopa kurudi Tanzania kwakuwa wanatupia maisha wakiwa kwenye madaraja watu wanasema wanakula bata kumbe hawana kitu sasa wanawaza watarudi vipi huku miaka inaenda hadi wazazi wao wamefariki lakini hawaji
 
Ndo hivyo, ukienda mbele ukarudi bongo kibwege lazima uchekwe. Labda tumuulize warumi huyo Ben Pol alikuwa anakula bata gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo hivyo, ukienda mbele ukarudi bongo kibwege lazima uchekwe. Labda tumuulize warumi huyo Ben Pol alikuwa anakula bata gani

Sent using Jamii Forums mobile app

Definition ya kula bata , ni kusafir nchi za watu for gallivanting , sio kikazi au kusoma au kuzamia, Hao hawali bata sana kama watu wanaoenda siku mbili au tatu kutembea ughaibuni. Ila wabeba mabox wengi cha moto wanakionaga


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kusimama kwenye jengo na kupiga picha ndio kula bata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…