Mmh naona ben Paul siku hizi mambo yake super , anakula bata ughaibuni ( sio show) kama Hana akili nzuri . Huenda msanii huyo ndiye anayoongoza kwa kula bata expensive kwenye msimu huu wa Christmas na mwaka Mpya kuliko mastaa wengine wote. Haijakulikana mpaka sasa hivi jeuri ya pesa za kupanda first class emirate na safari zake za dubai , Paris , Germany , UK bila kufanya show anapata wapi pesa, na sasa hvi a nakwambia Ana kama trip tatu za kumalizia bata lake la mwaka 2018.
Naona ben Paul amepokea kijiti cha ommy dimpoz.
Sema Ben Paul hilo danga ulilolipata usiliache wala nn, ikiwezekana kamroge kabisa 🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums