Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
ππππHongera zake
Nasikia wanambonyezaga kalio
Ushamba huu.. Siku akiambiwa sio wake atafanyajeStaa wa Bongo Fleva, Ben Pol, amefurahia baraka mpya maishani mwake baada ya kubarikiwa mtoto. Msanii huyo ame-share furaha yake na mashabiki kwa ku-post picha mtandaoni, akionyesha upendo wake kwa malaika huyo.
View attachment 3368614
View attachment 3368615
Ben huwa anachagua majina ya watoto mazuri kweli.First born Mali, huyu Moyo beautiful names.Staa wa Bongo Fleva, Ben Pol, amefurahia baraka mpya maishani mwake baada ya kubarikiwa mtoto. Msanii huyo ame-share furaha yake na mashabiki kwa ku-post picha mtandaoni, akionyesha upendo wake kwa malaika huyo.
View attachment 3368614
View attachment 3368615
Sio Benedikt?Hongera Bernard kwa kupata Mtoto, barikiwa sana.
Ni Bernard Paul mnyang'anywa.Sio Benedikt?