Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Staa wa Bongo Fleva, Ben Pol, amefurahia baraka mpya maishani mwake baada ya kubarikiwa mtoto. Msanii huyo ame-share furaha yake na mashabiki kwa ku-post picha mtandaoni, akionyesha upendo wake kwa malaika huyo.
View attachment 3368614
View attachment 3368615
Pole. Mke wake. Umejifungua kwa operation au kawaida? Mtoto wenu mwekeni huko siyo matangazo dada. Unaendeleaje lakini? Hongera mke wa huyo jamaa.