Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Staa wa Bongo Fleva, Ben Pol, amefurahia baraka mpya maishani mwake baada ya kubarikiwa mtoto. Msanii huyo ame-share furaha yake na mashabiki kwa ku-post picha mtandaoni, akionyesha upendo wake kwa malaika huyo.
View attachment 3368614
View attachment 3368615
Mtata sana we jamaaaPole. Mke wake. Umejifungua kwa operation au kawaida? Mtoto wenu mwekeni huko siyo matangazo dada. Unaendeleaje lakini? Hongera mke wa huyo jamaa.
Mtata sana we jamaaa
Kuna mwingine huwa anaitwa Vishu Mtata huyu jamaa ni mgomvi ile mbaya hasa umkute anagombana na gentamicin, utacheka sana hiyo sikuMtata sana we jamaaa
Dogo unanivunjia heshima mjomba wako, mimi nibishane nini na popoma.Kuna mwingine huwa anaitwa Vishu Mtata huyu jamaa ni mgomvi ile mbaya hasa umkute anagombana na gentamicin, utacheka sana hiyo siku
Kuna kipindi huyu jamaa aliolewa na mwanamke flani wa kikenya,aliachika kwani?Hongera zake
Nasikia wanambonyezaga kalio
Aliachika kwa aibu, demu alimzimikia mwenyewe nadhani hakumuelewa, ana sauti nzuri mno huyu bwana ila ukimtizama kwa jicho la rohoni simuelewagi yupo kama anauzezeta flani hivi, mpole kupitilizaKuna kipindi huyu jamaa aliolewa na mwanamke flani wa kikenya,aliachika kwani?
Kawaida ya watu wa Dodoma,ujinga mwingi vichwaniAliachika kwa aibu, demu alimzimikia mwenyewe nadhani hakumuelewa, ana sauti nzuri mno huyu bwana ila ukimtizama kwa jicho la rohoni simuelewagi yupo kama anauzezeta flani hivi, mpole kupitiliza
Wagogo ni mzigo wa taifaKawaida ya watu wa Dodoma,ujinga mwingi vichwani
Moja wa vijana very well disciplinedStaa wa Bongo Fleva, Ben Pol, amefurahia baraka mpya maishani mwake baada ya kubarikiwa mtoto. Msanii huyo ame-share furaha yake na mashabiki kwa ku-post picha mtandaoni, akionyesha upendo wake kwa malaika huyo.
View attachment 3368614
View attachment 3368615
Naona mpuuzi katika ubora wakoKawaida ya watu wa Dodoma,ujinga mwingi vichwani
Dogo ni humble na kalelewa vizuriAliachika kwa aibu, demu alimzimikia mwenyewe nadhani hakumuelewa, ana sauti nzuri mno huyu bwana ila ukimtizama kwa jicho la rohoni simuelewagi yupo kama anauzezeta flani hivi, mpole kupitiliza
Wagogo wanapenda Kutuzwa akikuta Vitu Hachakariki ndo kwanza alihamia kenya kabisa ukweni we unadhani kuna Mpya apoile pisi ya kenya ya kitajiri angekuwa nayo sasa hivi angekuwa na kampani yakina jux na domo
Mistake number unoMama ni mtu wa singida.
Kwanini mkuu?Ben Paul alifeli Sana kuachana na Ile pisi ya Kenya aisee
Asingeachika kwa dharau namna ileDogo ni humble na kalelewa vizuri
Mjingawewe😂Hongera zake
Nasikia wanambonyezaga kalio
Dharau gani sasaAsingeachika kwa dharau namna ile
Sio muhuni ila wahuni wanambonyeza,Dharau gani sasa
Ulitaka aachwe Kwa sifa?
Kwenye mapenzi hakuna formula, na dogo sio muhuni
Wagogo Ni Mizigo kwa taifa mkuuAsingeachika kwa dharau namna ile