Ben Pol abarikiwa mtoto, aweka picha hizi mtandaoni

Aliachika kwa aibu, demu alimzimikia mwenyewe nadhani hakumuelewa, ana sauti nzuri mno huyu bwana ila ukimtizama kwa jicho la rohoni simuelewagi yupo kama anauzezeta flani hivi, mpole kupitiliza
Anaongeaga kizembeeee.hatujui kama kitandani kama ana pigo hizohizoπŸ˜”
 
Zote hizi nilizonazo? Au huna mbegu hai wee.
Sema usaidiwee, lol πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama unazo ovaries nipe mzigo huo midfielder kisheti nijipigie pass zangu kama Iniesta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…