Ben Pol amshukia Ali Kiba

Ben Pol amshukia Ali Kiba

Kitendo cha alikiba kurudi kwenye game kwa manjonjo nakusema kaja kufuta vumbi(ad leo bado anafuta)ni kutaka kujishindanisha na waliopo juu yy angekurud kmya kmya akatoa single yake cyo kwakumponda diamond et kizuri kikiondoka bas kibaya kinakua kizuri,..aliniboa sn na dharau zake ss alitaka ushindani ngoja ashudie anavobakwa na ufalme wake kudadaadek

Tatizo hamjui maana ya 'Msanii na Usanii'
Kwanin arudi kimya kimya wkt yy ni muimbaji na ana mashabiki??
Wangapi wamejaribu kurudi na wameangukia pua??
Kiba kukaa 3years bila kutoa single then akarudi na watu wakampokea huo ni ushujaa mkubwa sana tena sana,
Wako wapi wakina Toni braxton, Celine Dion na wengineo waliovuma enzi hizo wakapoa then wakajaribu kurudi wakapata mapokeo madogo,

Hebu mwambie Diamond akae 2yrs tu bila single alafu arudi,

Yani me hua nawafananisha na Beyonce na Rihanna kimziki,
Mashabiki wanawashindanisha
Kimtazamo utaona Rihanna yupo juu,
Ila km Beyonce aliweza kukaa kimya for almost 3yrs akarudi na akapokelewa kwa kishindo,
Lkn Rihanna hajawah kuzimika masikion mwa watu,
Daily anatoa nyimbo ndio anaonekana yupo juu,
Sasa na yy akae kimya for 3yrs hlf arudi akipokelewa kwa kishindo basi aringe coz atakua anakubalika kwa hakika,

The same thng goes to Kiba mwachen aringe, ajidai, ajigambe kwani anajua anakubalika,
Licha ya ule msemo kua nabii hakubaliki kwao lkn yy anakubalika.
Mwacheni apumue mtoto wa watu,
Msimshindanishe na watu wengn.
 
Kilichomsaidia kiba nikupata sapot kutoka kwa maadui wa chibu, kuna watu naturaly walikua wanamchukia chibu tangu atoke so walikua wanatafta mtu wakumshindanisha na chibu ili ashuke wakat kiba bado kalala, walijarbu kumshindanisha na richmavoko, bob junior, dimpoz bt wakashindwa ad wengine walisema anawaroga, so kilichotokea ninjama yakumshusha chibu kwa kumtaftia mtu wakushindana nae, walivoona wameshindwa wakaamua kumuamsha kiba coz tangu zaman kiba hakumpenda chibu wala hakutaka kumsapot, kiba alikua kalala kashastaaf wakaanza kumpampu arudi kwenye game na hela hana yote ayo ni njama yakumshusha chibu na ndowashafeli so mashabiki wa kiba ni maadui wa chibu tangu zamani cyo fans wa mziki mzuri ilo liko wazi
 
Hayo unayoyasema umesikia kwny kinywa cha Kiba na Diamond au ni mitizamo ya watu wa vijiweni??

Tatizo Tz tunapenda majungu majungu hata mtu akifanya kitu mtasema anajishow off mara anashindana,
Kiba alistaafu mziki??
Kiba alisema anaacha mziki??

Nataman ningekukutanisha na hao watu wawili uwasikie mitazamo yao,
Anyway,
#KingKiba4real# the best of the best.
 
Ungetumia ID yako ya kawaida kwikwikwiiiii
 
Na je Ali Kiba alisema anashindana na Diamond?
Au mashabiki ndio wanamshindanisha na Diamond,
Kiba yupo vile vile wala hana ushindani na mtu,

Nakumbuka mapambano ya
Khadija kopa vs Nasma,
Kanumba vs Ray,
Dudu baya vs Mr. Nice,
East cost vs TMK,
Hao licha ya kua mashabiki waliwashindanisha kwa kujigawa n.k hata wao walikua wanapenda kushindana,

Tunarudi kwa Kiba vs Diamond,
Je Kiba amesema anashindana na Diamond??
Nini chanzo cha hilo 'bifu'
Kosa ni Ali Kiba kurudi ktk game na watu kumpokea wkt huo diamond ana hit??
Au nini sababu.

Kama kwelj wewe ni mpenzi na shabiki wa Kiba basi unajua fika Kiba alisema nini aliporudi kwenye gemu, kauli inayom cost sana kwa kufanya kazi under pressure kuchukua ufalme wake ambao alioushikilia anazidi kuchanja mbuga kwa speed kubwa mara dufu
 
Mlimnukuu vby,
Au pengine ni mawazo mgando,
Au pengine mlipenda washindane na kugombana hata wakionana,

Hv ulikuwepo kwny /kutazama luningani ile party ya kumuwaga rais JK pale Mlimani city?
What happened btn those two guys..... Mashabiki punguzeni maneno, wenzenu wanagonga mvinyo cz they knw what they are doing.
 
Akishatoka kwenye suala la management arudi kwenye the real Ali kiba...alikiba wa Cinderella na ya Kareem nk...
Sikuhizi pua nyingi mixer mivurugano..
We want the Ali Kiba ambae R Kelly mwenyewe alimkubali hadi kumpa nafasi ya kuanza ktk ngoma ya one8. That Ali kiba angetoboza mbali,ila this Ali kiba mpaka Neema ishuke.

Sina neno
 
Hahahaha hv ww..... Mmh makubwaaaa!

Kwnz cjaelewa ulivyosema KUNA RAIS WA AWAMU IJAYO,
Pia kusema THE RETURN OF THE KING ndio alimaanisha anafanya ushindani na Diamond?

Hlf ujue kuna tofauti kati ya Rais na King ingawa wote ni watawala,

Leta points zilizoshiba km huna kafanye usafi chumbani kwako my dia.

Hugo King wenyu hawez dizaini mziiki Wa sasa.Coz ye analogies kashazoea albamu that's y Ngumu kutoka kua Game la although mafwans wake kukubali maana yeye watakavo mashabiki no twafwauti atakavo yey.
Ameanza na Mwana tulisema King kweli kaja then mchekechua na una mchekechua sasa hv.Mfano Wa anavochekechuliwa kwa vidio ya nagaramia ndo Bella kamtua kafanya na Koffi.Sasa ana panga mbinu gani Stoke kwenye tasnia hii ya mZiiki.Kunakofuata atajiita THE RETURN OF THE FAILED ARTIST IN THE GAME.Atakama ya akiendelea kubana pua maana ya feruz na daz bab yanamfuata kimyakimya..Nanvy Kenzo tu Hawawezi wapo MTv Bas.Ndo mumfamanisje na RAISI WA AWAMU IJAYO??
JE UTANIPENDA?? BIG UP BIN POUL.
 
Abou Saydou bwana yani kiba angekuwa anasikiliza mawazo ya watu kama nyinyi ingekuwa kasharudi k/koo anauza duka aisee

Kaka ako Kiba akiendelea kukaa Rockstar yanamkuta yaliyo yaliyowakuta wenzake. Najua Kiba ana video & audio ambazo zipo tayari ila management haitaki kuziachia
 
Last edited by a moderator:
Mlimnukuu vby,
Au pengine ni mawazo mgando,
Au pengine mlipenda washindane na kugombana hata wakionana,

Hv ulikuwepo kwny /kutazama luningani ile party ya kumuwaga rais JK pale Mlimani city?
What happened btn those two guys..... Mashabiki punguzeni maneno, wenzenu wanagonga mvinyo cz they knw what they are doing.

Kama hakumaanisha hivyo basi washabiki ndio wamemaanisha hivyo na ndio maama amekuwa overrated

Mi ninachokiona na Chibu anajua amachokifanya wakati King Kiba anambwelambwela tu
 
Hugo King wenyu hawez dizaini mziiki Wa sasa.Coz ye analogies kashazoea albamu that's y Ngumu kutoka kua Game la although mafwans wake kukubali maana yeye watakavo mashabiki no twafwauti atakavo yey.
Ameanza na Mwana tulisema King kweli kaja then mchekechua na una mchekechua sasa hv.Mfano Wa anavochekechuliwa kwa vidio ya nagaramia ndo Bella kamtua kafanya na Koffi.Sasa ana panga mbinu gani Stoke kwenye tasnia hii ya mZiiki.Kunakofuata atajiita THE RETURN OF THE FAILED ARTIST IN THE GAME.Atakama ya akiendelea kubana pua maana ya feruz na daz bab yanamfuata kimyakimya..Nanvy Kenzo tu Hawawezi wapo MTv Bas.Ndo mumfamanisje na RAISI WA AWAMU IJAYO??
JE UTANIPENDA?? BIG UP BIN POUL.

Ahsante kwa kuComment.
 
Kama hakumaanisha hivyo basi washabiki ndio wamemaanisha hivyo na ndio maama amekuwa overrated

Mi ninachokiona na Chibu anajua amachokifanya wakati King Kiba anambwelambwela tu

Ahsante kwa kuComment.
 
Sikubaliani na Ben Pol kuandika kwenye public kwanini asimwambie macho kwa macho... Hata kama Ally Kiba ameshuka grade yeye Ben Pol ni mtoto wa juzi. Angemuambia tu.Napenda Muziki wa Ben Pol... Ameniudhi hiyo tabia mbaya
 
Back
Top Bottom