Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Kitendo cha alikiba kurudi kwenye game kwa manjonjo nakusema kaja kufuta vumbi(ad leo bado anafuta)ni kutaka kujishindanisha na waliopo juu yy angekurud kmya kmya akatoa single yake cyo kwakumponda diamond et kizuri kikiondoka bas kibaya kinakua kizuri,..aliniboa sn na dharau zake ss alitaka ushindani ngoja ashudie anavobakwa na ufalme wake kudadaadek
Tatizo hamjui maana ya 'Msanii na Usanii'
Kwanin arudi kimya kimya wkt yy ni muimbaji na ana mashabiki??
Wangapi wamejaribu kurudi na wameangukia pua??
Kiba kukaa 3years bila kutoa single then akarudi na watu wakampokea huo ni ushujaa mkubwa sana tena sana,
Wako wapi wakina Toni braxton, Celine Dion na wengineo waliovuma enzi hizo wakapoa then wakajaribu kurudi wakapata mapokeo madogo,
Hebu mwambie Diamond akae 2yrs tu bila single alafu arudi,
Yani me hua nawafananisha na Beyonce na Rihanna kimziki,
Mashabiki wanawashindanisha
Kimtazamo utaona Rihanna yupo juu,
Ila km Beyonce aliweza kukaa kimya for almost 3yrs akarudi na akapokelewa kwa kishindo,
Lkn Rihanna hajawah kuzimika masikion mwa watu,
Daily anatoa nyimbo ndio anaonekana yupo juu,
Sasa na yy akae kimya for 3yrs hlf arudi akipokelewa kwa kishindo basi aringe coz atakua anakubalika kwa hakika,
The same thng goes to Kiba mwachen aringe, ajidai, ajigambe kwani anajua anakubalika,
Licha ya ule msemo kua nabii hakubaliki kwao lkn yy anakubalika.
Mwacheni apumue mtoto wa watu,
Msimshindanishe na watu wengn.